Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,287
4,509
Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.

Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.

Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
 
Nafikiri kumekuwepo na kulegalega kwenye uthibiti, betting inatakiwa ifanywe maeneo maalumu ya kibiashara hasa maeneo ya starehe ambako huwezi kuta watoto na vijana wadogo wakiwa wamejazana huko. Sasa huyu aliyeleta leseni za betting kufanyika kila kona ya mtaa alikuwa analenga nini hasa?
 
Tuna kazi, tunabeti na hatuachi. Utaachaje kazi kama hii. Yaani wewe umeweka fedha, vijana wanatoka jasho uwanjani, halafu wewe unakula fweza.
Screenshot_20241220-123846_MelBet.jpg
Screenshot_20241220-123854_MelBet.jpg
Screenshot_20241220-123901_MelBet.jpg
Screenshot_20241220-123935_MelBet.jpg
Screenshot_20241220-123943_MelBet.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20241220-123808_MelBet.jpg
    Screenshot_20241220-123808_MelBet.jpg
    217.5 KB · Views: 1
Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.

Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.

Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
Ugonjwa wa gas Ni upi?
 
Sativa anaishi kwa kubeti na ni milionea. Maisha ni kujifunza na kubobea, be a Master of the game
 
Back
Top Bottom