Gloria the writer
New Member
- May 23, 2024
- 1
- 2
Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa ushauri kwa vijana itawafikia vijana wengi sana ikiwa na lugha mbali mbali na itakua na vitu mbali mbali ambavyo pia vitawaondolea msongo wa mawazo Kitengo maalum kiwepo ku deal na iyo application itakayo deal na maswala ya Mental health kwani "AFYA YA AKILI NI MTAJI" hasa vijana wengi ndo wanao angamia katika hili na Vijana ni taifa la kesho na ndio nguvu kazi ya jamii Vijana wengi wamesahaulika katika maswala ya Afya ya akili ndio maana matukio mengi ya kinyama yanaongezeka kwa sababu hospital hawaendi kupata iyo huduma lakini kwa dunia ya sasa kila mtu ana miliki smartphone Sekta ya afya ikizingatia hili tutajenga Taifa lenye vijana ambao ni nadhifu na wenye akili iliyo safi nguvu kubwa iwekwe katika vyuo mashuleni ku promote iyo application ndipo Nchi yetu itaona ni vijana wangapi wana hili Tatizo
(1) Application itakayo anzishwa kwanza kabisa lazima iwe na sehemu ya kuelezea changamoto ya mtu husika na matatizo anayo pitia na kama mtu atakua na changamoto kubwa basi atapelekwa hospital ambayo itakua karibu na yeye kwa msaada zaidi
(2) Application iwe na sehemu ya kuhakikisha inakua na video mbali mbali zinazo elezea nini maana ya afya ya akili umuhimu wa kujitambua na kwa nini inabidi mtu apate msaada pale anapo pata changamoto iyo
(3) Maswala mbali mbali kuhusu mahusiano kwa nini ni muhimu wenza kupata ushauri kuhusu mahusiano ili matukio ya mume na mke kuuana na elimu itolewe kabla ya kuingia kwenye ndoa ni muhimu sana kila mmoja kujua afya ya akili ya mwenza wake
(4) Application iwe na live chat na mtaalamu wa afya pia itasaidia kuleta uzito pale ambapo muhusika atapata wasaa wa kusikilizwa na mtaalamu ambae pia ataona kiasi gani muhusika anahitaji msaada
(5) Kuwe na watumishi wa Mungu ambao pia watasaidia kutoa ushauri na hata maombezi kwa watu ambao watakua na matatizo ya afya ya akili italeta pia hamasa kwani application itakua na kila kitu kinacho hitajika katika maswala ya afya ya akili
lengo la matibabu kupitia application ya "TANZANIA MPYA"ni kuboresha hali njema ya watu hasa vijana kupunguza dalili za hali ya afya ya akili kama vile wasiwasi na hofu na kutafuta na kutibu chanzo chao. Tofauti pekee ni kwamba, badala ya kuhudhuria vikao vya ana kwa ana, wagonjwa na wataalamu wa matibabu watawasiliana kupitia ujumbe wa maandishi au wa sauti, live video katika application
Application itakayo itwa "Tanzania mpya" itawasaidia pia Watu ambao wanakabiliwa na dharura kali ya afya ya akili, wanafikiria kuhusu kujiua au kujidhuru au kuwadhuru wengine, au ambao wamegunduliwa kuwa na ugonjwa mbaya wa akili kama vile unyogofu mkali au skizofrenia watafaidika zaidi kutokana na ushauri wa haraka kupitia application yetu.
YATAKAYO FANYIKA KATIKA APP YA TANZANIA MPYA
(1) Kwanza kabisa wataanza kwa kujaza dodoso fupi kuhusu afya yake ya akili ya sasa na ya zamani, sababu zake za kutafuta matibabu katika application yetu ya "Tanzania mpya"
Kwa mfano, unaweza kukutana na maswali kuhusu imani yako ya kidini au kiroho, utambulisho wako wa jinsia au hali ya mahusiano na hautahitajika kujibu maswali yoyote ambayo hutaki, lakini kufanya hivyo kunaweza kusaidia sana kwa hatua inayofuata.
(2) Hatua hii inahusisha kulinganishwa na mtaalamu katika app yetu. tutatoa orodha fupi ya washauri na muhusika atachagua mtaalamu anayefikiri kwamba anakidhi mahitaji na mapendeleo yake vyema.
3. Baada ya kuendana na mtaalamu ataanza kwa kumtumia ujumbe mara moja. wanaweza kukufikia ili kutambulishana kueleza zaidi kuhusu mbinu ya matibabu.
Kulingana na jukwaa na mpango uliochagua, utakuwa na chaguo la kusaini simu ya sauti au ya video na kuchati kutakua na Ushauri wa familia, talaka, kuasili, utasa, mfadhaiko baada ya kuzaa Udhibiti wa hasira.
Ushauri wa mtoto au kijana wasiwasi, ugonjwa wa bipolar,
Ushauri wa kidini na kiroho
Tanzania mpya itakua application itakayo saidia kupunguza maswala ya afya ya akili kwa watu wote Hasa vijana
Glory Jonas Zitatu