siyoi koroi
Senior Member
- Sep 6, 2016
- 177
- 214
Tutaanza kushuhudia viongozi wa umma wakisafiri bure. Natabiri tu baada ya mwaka mmoja shirika litashindwa kijiendesha na litasimamisha huduma. hapo nani wa kulaumiwa?
Mbona Nape hajaagiza watu wafanye kazi badala ya kuangalia ndege "zikizinduriwa". Au wananchi walioshiriki watapata ujira... HaahaaàaaaaassshMkuu wameruhusiwa sasa....Raia wanamwagika kwa wingi sana kuingia ndani
Wee huoni foleni hiyo ya Abiria wenye LPO washajipanga hawajali mvua... hapo kweli tutapona ?Eti nazo zinazinduliwa? Sasa siku tukileta Air Bus nafikiri kutakuwa na mapumziko ya mwezi mzima.
Pia tunaomba Mungu afanye wepesi tufike katika hizi mapema kabla ya 2020
vip JPM hatatoa tamko angalau watu tusafiri bure kwa muda fulani kama ilivyo kwa magari ya mwendokasi?Hatimaye ile siku imewadia,leo ndio uzinduzi rasmi wa ndege mbili za TGFA zitakazokodiwa na ATCL kwa ajili ya matumizi ya usafiri wa ndani na nje ya nchi.Zaidi ya ndani ya mipaka ya Tanzania,ndege mpya za ATCL zinatazamiwa kuwa na "route" ya kuelekea Hahaya-Commor ambapo imekuwa na soko la uhakika hata wakati ikiwa na ndege moja tu.
Uzinduzi huo unategemewa kufanywa na Rais wa JMT Mh.John P. Magufuli.Eneo la ufunguzi litakuwa ni eneo la maegesho ya Wakala wa Ndege za Serikali(Tanzania Gvt Flight Agency)maandalizi ya uzinduzi huo yanaendelea na tayari ndege hizo zimetolewa eneo la "Apron" ya JWTZ-Air Wing na kuletwa TGFA.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari,wafanyakazi wa taasisi mbalimbali zinazofanya kazi uwanja wa ndege kama TAA,TGFA,TCAA,Swissport,Precision,ATCL,Police,State Security,JWTZ-Airwing na TMA watawakilisha raia wengine.
Kwa sbb za kiusalama na unyeti wa eneo,itakuwa ngumu kwa raia wengi kutoka nje bila kibali na vitambulisho kuingia moja kwa moja.Mpaka sasa utepe na eneo la kufanyia uzinduzi lipo tayari....Tutaendelea!!!
===== ======. =========
Hatimaye agizo limetoka na Raia wameruhusiwa kuingia na tayari kwa kumsubiri Rais anayetarajiwa kufika saa nne na nusu
Bado,Ndio Kwanza Yupo Anaangalia Viuno Mauno!vip JPM hatatoa tamko angalau watu tusafiri bure kwa muda fulani kama ilivyo kwa magari ya mwendokasi?
Hata Lizaboni kwa mauno hamna anayemfikiaBado,Ndio Kwanza Yupo Anaangalia Viuno Mauno!
Kuna Dada Yuko Uku Upande wa Wangu wa Kushoto Anamwaga Mauno Huyo!
Naona Magufuli Anaangalia,Jicho Kodo!
Ahahaha,i will find him out,after the event ends!Hata Lizaboni kwa mauno hamna anayemfikia