babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Uzinduzi wa mapanga shaa
Wapinzani chali naona wamekacha uzinduzi..
Tayari Rais Magufuli ameshawasili,.............................
Kinachoendelea ni utambulisho wa wageni mbalimbali.........................
stay tuned....
Ameshawajibu Makonda Kuwa hamjui mnachokitakaHii nchi watu mlilogwa kweli yaani vindege viwili ndio inakuwa sherehe ya kitaifa kazi zinasimama .....
Hivi mkulima wa katavi hiyo ndege itambebea mahindi yaliyo kosa soko uko kutoka katavi mpaka dar?
Kiukweli Dunia inatucheka hatuwezi kumtumia Rais kuzindua ndege mbili za abilia 70 wakati waziri yupo na mkurugenzi wa shirika yupo ...
Only In Tanzania
Huo unafki meya yupo hapoWapinzani chali naona wamekacha uzinduzi..