Uzinduzi wa Ndege za ATCL: Kutoka Uwanja wa JNIA eneo la Tanzania Government Flight Agency

watanzania hatuishiwi vituko, kule Kenya akina kalonzo na Uhuru hivi vipanga boy wanavyo vya kutosha kweli , sisi leo tumehamishia Serikali uwanja wa ndege
 
Tayari Rais Magufuli ameshawasili,.............................
Kinachoendelea ni utambulisho wa wageni mbalimbali.........................

stay tuned....
 
Hii nchi watu mlilogwa kweli yaani vindege viwili ndio inakuwa sherehe ya kitaifa kazi zinasimama .....

Hivi mkulima wa katavi hiyo ndege itambebea mahindi yaliyo kosa soko uko kutoka katavi mpaka dar?

Kiukweli Dunia inatucheka hatuwezi kumtumia Rais kuzindua ndege mbili za abilia 70 wakati waziri yupo na mkurugenzi wa shirika yupo ...

Only In Tanzania
 
For bongo we were not experienced such kind of event. Alaf bila Shaka we are lugging behind the technology that why old technology for us it's a new technology.
Let them celebrate for that!
 
Kama kweli huyu mh.Rais anaahirisha sherehe baadhi,km uhuru.Mbona hakuahirisha hili?Ukifikiri sana utaona ni.......
 
Makonda bwana,,siasa kwenda mbele,,,naona anawapiga vijembe upinzani kimtindo
 
Tayari Rais Magufuli ameshawasili,.............................
Kinachoendelea ni utambulisho wa wageni mbalimbali.........................

stay tuned....
IMG-20160823-WA0019.jpg

images

Bombardier_Q400_527478_i0.jpg
 
Hii nchi watu mlilogwa kweli yaani vindege viwili ndio inakuwa sherehe ya kitaifa kazi zinasimama .....

Hivi mkulima wa katavi hiyo ndege itambebea mahindi yaliyo kosa soko uko kutoka katavi mpaka dar?

Kiukweli Dunia inatucheka hatuwezi kumtumia Rais kuzindua ndege mbili za abilia 70 wakati waziri yupo na mkurugenzi wa shirika yupo ...

Only In Tanzania
Ameshawajibu Makonda Kuwa hamjui mnachokitaka
 
Hasiye ijua dunia ataona maajabu... Since independence 1961 there are so many countries have gone high compare to us. I think we late to have it..
Let them celebrate!
 
Back
Top Bottom