hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Makanisa haya makubwa RC,kkkT ndiyo yanayoongoza kwa ss kuwa sehem ya ukandamizaji na kuunga mkono mabaya ya viongozi wetu na wao hukimbilia huko kwani huko imani ya ki MUNGU hakuna tena hawa watu ni wafia dini maana yake waseme kweli hata mauti lkn kwa ss ni kinyume mfano swala la wana wa bukoba,njaa na mengine mengi tu hata huyo ametafuta wp pa kusemea akapata hapo,amezunguka miskitini lkn kwakuwa huko hakuna mashiko akaona huko akilia hapatakuwa na mashiko amepata pa kulilia ndo hivyo ,mh vita hiyo ya madawa ni sawa lkn kibaya ni kuianzisha na kukamata watu ambao hata chembe hawana hawa utawasafisha vp?ni mapambano mazuri lkn kuna watu umewapeleka sio, muombe sana MUNGU akupe moyo wa hekima.Salam,
Kwa Muda wa zaidi ya wiki mbili huku mitandaoni kumekuwa na mjadala mrefu unaozungumzia utata wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar. Ninaamini hichi ndicho kilichopelekea mkuu huyo kusimama jukwaa la kanisa la KKKT Kimara katika jitihada za kujinasua kwenye shutuma hizo ambazo mwisho wake sio mzuri endapo itabainika kuwa ni kweli.
Sisemi kuwa shutuma hizi ni za kweli na wala binafsi sina ushahidi wa uhakika sana juu Hilo.
HOJA YANGU:
Naomba uongozi wa kanisa langu KKKT waliopo pale Luther house Dar wanifafanulie uhalali wa kutumia madhababu ya kanisa katika jitihada za kujisafisha kisiasa. Kwenye hili saga tumeshaona baadhi ya viongozi wengine wa kidini wakijitoa kusema wazi kuwa shutuma hizi za mkuu wa mkoa ni za kweli kabisa. Je, aliyempa mamlaka mchungaji wa Kimara kumsimamisha mkuu wa mkoa ili ajisafishe ni nani?? Ninalijua vizuri kanisa langu kuwa Lina uongozi makini na sio rahisi kwa mtu yeyote Kufanya Chochote kanisani bila uongozi husika kujua..... Na hasa mtu mkubwa Kama mkuu wa mkoa. Swali langu, je uongozi wa kanisa unahusika kwenye hili?
Kama hauusiki tafadhali naomba uongozi utoe tamko mapema sana. Kwa sababu ikiwa muhusika ataanguka inaweza ikaathiri heshima ya kanisa kwa namna moja au nyingine.
Ni Hilo tu.
Mimi muumini wa KKKT mwenye Kadi namba 881.
Ninachokijua Mimi ni kwamba kuna miongozo na taratibu za namna ya kuendesha Ibada za KKKT, na Kama wewe ni muumini wa kanisa hili huwezi kusema kuwa mtu ahame usharika Wakati utaratibu ni mmoja..... Hilo linaifanya hiyo hoja hapo juu kuwa huyo mchungaji ni unique iwe na mashiko.Sisi wengine tunafarijika sanaa kwa namna mchungaji anavyoendesha ibada hapa kanisani. Ni ibada inayotubariki ndiyo maana mpaka sasa tupo hapa. Wewe kama ibada au mchungaji anakukera kwa namna ibada inabyoendeshwa nakushauri uende kwenye usharika mwingine. Hakuna sababu ya kukereka kwa jambo unaloweza kuzuia.
Ndugu muumini, yule aliyesema kuwa ni zamu ya sisi walutheri kutoa Rais akiwa madhabahuni mbona haukutaka wanisa litoe ufafanuzi? Au kwa kuwa huyu wa sasa humpendi? Huu ni unafiki wa kiwango cha uprofesa.Mimi muumini wa KKKT mwenye Kadi namba 881.
Wewe ndio Malasusa au? Lutheran limejengwa na misingi imara tangu enzi ndio maana umeliona liko imara hadi leoSisi wengine tunafarijika sanaa kwa namna mchungaji anavyoendesha ibada hapa kanisani. Ni ibada inayotubariki ndiyo maana mpaka sasa tupo hapa. Wewe kama ibada au mchungaji anakukera kwa namna ibada inabyoendeshwa nakushauri uende kwenye usharika mwingine. Hakuna sababu ya kukereka kwa jambo unaloweza kuzuia.
Hahahaha kwanini asingeita waandishi wa habari kama kawaida yake ajielezee huko ingekua nzuri zaidiWANALI CHAFUA HEKALU LA BWANA
KKKT Sio sehem ya wanasiasa sijui kujisafisha kwa kuhubiri
YAani Hadhi Ya KKKT inaanza polomoka uwezi ona mambo kama haya RC
Kutoa salam fupi hatukatai lkn mtu sijui ni kuhubiri sasa si aende kusomea uchungaji kuliko kubadili sauti (kinyonga Bashite) kama Mwl Mwakasege
Ndugu muumini, unajijua sana??? Una uhakika kuwa sikulisemea Hilo swala??? Au na wewe ni Kihiyo Bashite.Ndugu muumini, yule aliyesema kuwa ni zamu ya sisi walutheri kutoa Rais akiwa madhabahuni mbona haukutaka wanisa litoe ufafanuzi? Au kwa kuwa huyu wa sasa humpendi? Huu ni unafiki wa kiwango cha uprofesa.
Kumbe huwa kuna kadi!Mimi muumini wa KKKT mwenye Kadi namba 881.
Karibu, pole kwa kule ulikokuwa umewekwa tulikosa ubuyu wako kwa kiasi fulani warumiAsubuhi asubuhi badala ya kuwaza kazi mnawaza vyeti vya makonda, mnadhani vyeti vyake vitawaondolea ugumu wa maisha yenu
Mkuu, mtoa hoja anasema kuwa mchungaji yupo kama "brazamen". Huu ni udhalilishaji kwa kiongozi wetu. Hivyo, naona mtoa pamoja na mambo mengine ya utaratibu wa ibada lakini hampendi/ hamweshimu kiongozi wetu. Sasa kama hapendi huu utaratibu na huyu "brazameni" anamkera, ni bora ahamie kwingine kulinda imani yake.Ninachokijua Mimi ni kwamba kuna miongozo na taratibu za namna ya kuendesha Ibada za KKKT, na Kama wewe ni muumini wa kanisa hili huwezi kusema kuwa mtu ahame usharika Wakati utaratibu ni mmoja..... Hilo linaifanya hiyo hoja hapo juu kuwa huyo mchungaji ni unique iwe na mashiko.
Kanisa Lina taratibu, zikivunjwa ni kupanda mbegu ya makanisa ya kimapokeo kwenye kanisa kongwe Kama KKKT.
Salam,
Ni Hilo tu.
Mimi muumini wa KKKT mwenye Kadi namba 881.
cha ajabu ninachoshangaa akina mama wanapiga vigelegele, yaani daah!!WANALI CHAFUA HEKALU LA BWANA
KKKT Sio sehem ya wanasiasa sijui kujisafisha kwa kuhubiri
YAani Hadhi Ya KKKT inaanza polomoka uwezi ona mambo kama haya RC
Kutoa salam fupi hatukatai lkn mtu sijui ni kuhubiri sasa si aende kusomea uchungaji kuliko kubadili sauti (kinyonga Bashite) kama Mwl Mwakasege
Nina amini ni lugha tu imetofautiana Kati yako na huyo unamuita mtoa mada.... Labda ametumia neno ambalo wewe kwa umri wako hulielewi. Ulitaka aseme mtanashati ok, weka neno mtanashati hapo kwenye brazamen ila haitoi maana ya sisi tulivyomuelewa aliyekuambia Hilo neno. Tunahoji utaratibu binafsi wa huyo kiongozi kuendesha Ibada kinyume na utaratibu kongwe wa kanisa....Mkuu, mtoa hoja anasema kuwa mchungaji yupo kama "brazamen". Huu ni udhalilishaji kwa kiongozi wetu. Hivyo, naona mtoa pamoja na mambo mengine ya utaratibu wa ibada lakini hampendi/ hamweshimu kiongozi wetu. Sasa kama hapendi huu utaratibu na huyu "brazameni" anamkera, ni bora ahamie kwingine kulinda imani yake.
Hili swala la minada, Nadhani umepotoka kidogo. Rudi kwenye hoja ya kushinikiza uongozi utoe tamko.Kkkt mna mambo sana. Huku Arusha mko bize kufufua hoteli ya Corridor. Dar mnamsafisha Mako. Msimu wa uchaguzi mkampa Lowasa madhabahu ajinadi.
Mnaendesha minada makanisani wakati hata Yesu alikataa nyumba ya baba yake kuwa pango la wanyang'anyi.
Hilo dhehebu kuna wapiga dili wengi sana. Mnapaswa mjitafakari kwa kweli kama bado mpo kwenye misingi ya Martin Luther.
Kanisani ni kimbilio kwa sisi wenye dhambi.Salam,
Kwa Muda wa zaidi ya wiki mbili huku mitandaoni kumekuwa na mjadala mrefu unaozungumzia utata wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar. Ninaamini hichi ndicho kilichopelekea mkuu huyo kusimama jukwaa la kanisa la KKKT Kimara katika jitihada za kujinasua kwenye shutuma hizo ambazo mwisho wake sio mzuri endapo itabainika kuwa ni kweli.
Sisemi kuwa shutuma hizi ni za kweli na wala binafsi sina ushahidi wa uhakika sana juu Hilo.
HOJA YANGU:
Naomba uongozi wa kanisa langu KKKT waliopo pale Luther house Dar wanifafanulie uhalali wa kutumia madhababu ya kanisa katika jitihada za kujisafisha kisiasa. Kwenye hili saga tumeshaona baadhi ya viongozi wengine wa kidini wakijitoa kusema wazi kuwa shutuma hizi za mkuu wa mkoa ni za kweli kabisa. Je, aliyempa mamlaka mchungaji wa Kimara kumsimamisha mkuu wa mkoa ili ajisafishe ni nani?? Ninalijua vizuri kanisa langu kuwa Lina uongozi makini na sio rahisi kwa mtu yeyote Kufanya Chochote kanisani bila uongozi husika kujua..... Na hasa mtu mkubwa Kama mkuu wa mkoa. Swali langu, je uongozi wa kanisa unahusika kwenye hili?
Kama hauusiki tafadhali naomba uongozi utoe tamko mapema sana. Kwa sababu ikiwa muhusika ataanguka inaweza ikaathiri heshima ya kanisa kwa namna moja au nyingine.
Ni Hilo tu.
Mimi muumini wa KKKT mwenye Kadi namba 881.
Ugumu wamaisha unaletwa na Daudi bashite.Asubuhi asubuhi badala ya kuwaza kazi mnawaza vyeti vya makonda, mnadhani vyeti vyake vitawaondolea ugumu wa maisha yenu
KWANI wewe halijakuchukiza? Hivi angeenda pale madhabahuni apige tu magoti aombe kuombewa (hata kama angefanya siri sababu ya kuombewa), pangekuwa na sababu ya kuchukia?ndugu zangu tusimhukumu ndugu yetu toba zote zinapatikana mbele ya altare ya bwana binadam wote niwadhaifu na hata mungu anajua ..... hapo mlipo kuna mtu
ambayo siimdhaifu?.... altare ya bwana ndo inayofuta madhaifu yetu....kweli wengi mmechukia bcoz amepeleka vitu vya kisiasa pale....madhabahu yale angeenda kujitakasa yeye kama yeye si kwa cheo cha RC
Wangemuacha tu apumzike yatosha sasa jamani mmemsema inatosha mtamua mtoto wa watuangeenda kwa karumanzila maneno,akienda kwa mashehe maneno kaenda kanisani maneno,mtamuua bashite wa watu