Uongozi wa kanisa KKKT utoe tamko haraka kuhusu yaliyojiri Jana Kimara

Wakati anayejiita makonda anasema"mchungaji naomba uniruhusu niongee yafuatayo maana hapa ni nyumbani" pale alionesha muelekeo wake wa kutaka kuongea siasa...mchungaji angempora maiki palepale.

Amewatenganisha waumini na makelele na shangwe za kinafki.
 
Salam,

Kwa Muda wa zaidi ya wiki mbili huku mitandaoni kumekuwa na mjadala mrefu unaozungumzia utata wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar. Ninaamini hichi ndicho kilichopelekea mkuu huyo kusimama jukwaa la kanisa la KKKT Kimara katika jitihada za kujinasua kwenye shutuma hizo ambazo mwisho wake sio mzuri endapo itabainika kuwa ni kweli.
Sisemi kuwa shutuma hizi ni za kweli na wala binafsi sina ushahidi wa uhakika sana juu Hilo.

HOJA YANGU:
Naomba uongozi wa kanisa langu KKKT waliopo pale Luther house Dar wanifafanulie uhalali wa kutumia madhababu ya kanisa katika jitihada za kujisafisha kisiasa. Kwenye hili saga tumeshaona baadhi ya viongozi wengine wa kidini wakijitoa kusema wazi kuwa shutuma hizi za mkuu wa mkoa ni za kweli kabisa. Je, aliyempa mamlaka mchungaji wa Kimara kumsimamisha mkuu wa mkoa ili ajisafishe ni nani?? Ninalijua vizuri kanisa langu kuwa Lina uongozi makini na sio rahisi kwa mtu yeyote Kufanya Chochote kanisani bila uongozi husika kujua..... Na hasa mtu mkubwa Kama mkuu wa mkoa. Swali langu, je uongozi wa kanisa unahusika kwenye hili?
Kama hauusiki tafadhali naomba uongozi utoe tamko mapema sana. Kwa sababu ikiwa muhusika ataanguka inaweza ikaathiri heshima ya kanisa kwa namna moja au nyingine.

Ni Hilo tu.
Mimi muumini wa KKKT mwenye Kadi namba 881.
Hii ni aibu kwa kanisa kiukwel haipo vizur kabisa
 
Yule mchungaji pale Kimara anaitwa sijui maslai amejaa kiburi uzima nasikia hata utaratibu wa Ibada amegeuza ni tofauti na ule wa Wutheri

Ameota mapembe kisa anawaaumini wengi anaitishia hata dayosisi kama itamuamisha atahama dhehebu aanzishe lake

Kimuonekano ni mchungaji brothermen anapenda sifa pia mbabe na ujeuri wa hapa na pale

Onyo KKKT muonyeni huyo mchungaji anafifisha liturugia ya KKKT
 
Mimi najiuliza tu, sina shida na makonda kupewa muda wa kujitetea kanisani..shida yangu mimi ni itakuwaje viongozi wote wa kisiasa wakaamua kulitumia kanisa la Mungu kutoa mambo yao ya moyoni?

Itakuwaje Lema, Lissu, Mbowe na akina Lowassa wote wakaenda kanisani na kutoa yao ya moyoni katika ibada?

Watumishi wa Mungu wajitafakari sana, tatizo sio kumpa mtu nafasi ya kutoa salamu japo sio lazima kwani unapofika kanisani wewe ni muumini sawa na wengine..unampa mtu nafasi ya kupiga porojo katika kanisa la Mungu kweli?
 
Sisi wa dini ya upande huu tumezidi sana upole, ungekua upande ule wangemtia makofi kama walivyofanya kwa yule mstaafu baada ya kuhubiri kinyume na imani yao. Kanisa liombe radhi kwa kilichotokea, inakua vigumu kutofautisha kati ya UVCCM na KKKT
 
ndugu zangu tusimhukumu ndugu yetu toba zote zinapatikana mbele ya altare ya bwana binadam wote niwadhaifu na hata mungu anajua ..... hapo mlipo kuna mtu
ambayo siimdhaifu?.... altare ya bwana ndo inayofuta madhaifu yetu....kweli wengi mmechukia bcoz amepeleka vitu vya kisiasa pale....madhabahu yale angeenda kujitakasa yeye kama yeye si kwa cheo cha RC
 
Salam,

Kwa Muda wa zaidi ya wiki mbili huku mitandaoni kumekuwa na mjadala mrefu unaozungumzia utata wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar. Ninaamini hichi ndicho kilichopelekea mkuu huyo kusimama jukwaa la kanisa la KKKT Kimara katika jitihada za kujinasua kwenye shutuma hizo ambazo mwisho wake sio mzuri endapo itabainika kuwa ni kweli.
Sisemi kuwa shutuma hizi ni za kweli na wala binafsi sina ushahidi wa uhakika sana juu Hilo.

HOJA YANGU:
Naomba uongozi wa kanisa langu KKKT waliopo pale Luther house Dar wanifafanulie uhalali wa kutumia madhababu ya kanisa katika jitihada za kujisafisha kisiasa. Kwenye hili saga tumeshaona baadhi ya viongozi wengine wa kidini wakijitoa kusema wazi kuwa shutuma hizi za mkuu wa mkoa ni za kweli kabisa. Je, aliyempa mamlaka mchungaji wa Kimara kumsimamisha mkuu wa mkoa ili ajisafishe ni nani?? Ninalijua vizuri kanisa langu kuwa Lina uongozi makini na sio rahisi kwa mtu yeyote Kufanya Chochote kanisani bila uongozi husika kujua..... Na hasa mtu mkubwa Kama mkuu wa mkoa. Swali langu, je uongozi wa kanisa unahusika kwenye hili?
Kama hauusiki tafadhali naomba uongozi utoe tamko mapema sana. Kwa sababu ikiwa muhusika ataanguka inaweza ikaathiri heshima ya kanisa kwa namna moja au nyingine.

Ni Hilo tu.
Mimi muumini wa KKKT mwenye Kadi namba 881.
Mshenga
 
Mara kesho katumbuliwa na kashfa hiyo ya vyeti. Haya na alipewa madhabahu ajitee maana waliamini alichosema. Je itakuwaje kwa kanisa.?
 
Yule mchungaji pale Kimara anaitwa sijui maslai amejaa kiburi uzima nasikia hata utaratibu wa Ibada amegeuza ni tofauti na ule wa Wutheri

Ameota mapembe kisa anawaaumini wengi anaitishia hata dayosisi kama itamuamisha atahama dhehebu aanzishe lake

Kimuonekano ni mchungaji brothermen anapenda sifa pia mbabe na ujeuri wa hapa na pale

Onyo KKKT muonyeni huyo mchungaji anafifisha liturugia ya KKKT
Kama ni huyo brother, mbombo ngafu...
 
Asubuhi asubuhi badala ya kuwaza kazi mnawaza vyeti vya makonda, mnadhani vyeti vyake vitawaondolea ugumu wa maisha yenu
Wewe mwenye kazi unafanya nini hapa (probably ndo kazi yenyewe uliyopewa)

[HASHTAG]#achakulia[/HASHTAG] [HASHTAG]#weka[/HASHTAG] vyeti- DAB- call me J
 
Asubuhi asubuhi badala ya kuwaza kazi mnawaza vyeti vya makonda, mnadhani vyeti vyake vitawaondolea ugumu wa maisha yenu
Here we go again Mkuu tulia jiandae uende kazini Haya mambo ya kutetea Daudi utapotea.
 
Huyu mchungaji wa usharika ajivue huo wadhifa haraka sana
haiwezekani mchungaji kualika mahawara zake kanisani tena wa madhehebu tofauti kuingia kujisafisha.
 
Yule mchungaji pale Kimara anaitwa sijui maslai amejaa kiburi uzima nasikia hata utaratibu wa Ibada amegeuza ni tofauti na ule wa Wutheri

Ameota mapembe kisa anawaaumini wengi anaitishia hata dayosisi kama itamuamisha atahama dhehebu aanzishe lake

Kimuonekano ni mchungaji brothermen anapenda sifa pia mbabe na ujeuri wa hapa na pale

Onyo KKKT muonyeni huyo mchungaji anafifisha liturugia ya KKKT
Sisi wengine tunafarijika sanaa kwa namna mchungaji anavyoendesha ibada hapa kanisani. Ni ibada inayotubariki ndiyo maana mpaka sasa tupo hapa. Wewe kama ibada au mchungaji anakukera kwa namna ibada inabyoendeshwa nakushauri uende kwenye usharika mwingine. Hakuna sababu ya kukereka kwa jambo unaloweza kuzuia.
 
Back
Top Bottom