Afrique du Sud
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 495
- 1,340
Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu.
I'm done..