Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,284
- 8,180
Ha ha ha ha
Tena Kimbia Kwa speed ya ngiri mkia juu!!!Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu.
I'm done..
Ha ha ha haManka malizia ya kichwa bado anapumua huku
Yalinikuta....Yelewiiii
Ogopa sana akina MANKAana nin huyo manka?