zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 6,755
- 11,431
Unapenda kuona PoliCCM wakiwa wanapigwa mawe wewe unafikiri kwanini walienda baada ya saa limoja wao ndio hawajui maumivu ya mawe?Wangeomba msaada wa polisi au hata traffic

Tegeta kwa ndevu tarehe 5 December 2024.....TRA wanafanya kazi mpaka saa ngapi?View attachment 3170012
UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)
Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Sasa wasome alama za nyakatiHii ni ngeni kwako? Fatilia vizuri hao jamaa wana operations zao, wapelelezi, intelejensia yao na wanakamata vilevile, haijalishi siku wala masaa.
Kama mmiliki anafahamika si wamkamate?.Hii ni ngeni kwako? Fatilia vizuri hao jamaa wana operations zao, wapelelezi, intelejensia yao na wanakamata vilevile, haijalishi siku wala masaa.
Chain ikiwa kubwa sana mgao nao unakuwa mdogo ndiyo kitu walikuwa wanakikimbia hata hao wa Tegeta nao hivyo hivyo wanajua wakishaongeza mtu baki kwenye mission yao hela inakuwa siyo tamu tena maana mikono itakuwa mingi.Ona sasa, kwani wanashindwa kuwasiliana na trafiki kwamba gari namba fulani izuien hapo
Usajili wa DH ni wa kipindi cha awamu ya Kikwete.Maswali
1.Gari namba DH usajili wake ni miaka zaidi ya 4 mpaka sasa.
Je , nani aliisajili?
2.Miaka yote hiyo iweje mugundue leo ?
3. Je, gari ina usajili bandia?
Mlishindwa kulisimamia Bandarini au mipakani ili gari lilipiwe Kodi, sasa mnalitafuta mitaani Ili gari ilipiwe Kodi😄View attachment 3170012
UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)
Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Tatizo ni utaratibu wa ukamataji.Kesho asubuhi watalikana tangazo Lao. Asanteni Sana wana Tegeta kwa ndefu
Washambuliwe tu maana hakuna namna nyingine sasa hivi. HAKUNA TUNAYE MUAMINI KWA UTEKAJI ULIOTAMALAKISHWA NA VYOMBO VYA DOLIA,DOLA NA POLICCM.View attachment 3170012
UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)
Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
I second this👆Kama gari mnaijua na ina usajili kwanini msimuite mwenye nayo atoe nyaraka za gari yake? Inakuwaje mnaanza kufuatilia mtu tena usiku?
Nyie ni polisi?
Je mna mamlaka ya kumfuatilia mtu na kumkamata au kukamata mali yake bila kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama?
Hayo yote mmeyataka kwakuwa hali ya usalama wa raia nchini imedhoofu kiasi kwamba sasa raia ni lazima kuwa vigilant la sivyo ni kutekwa na kuuwawa tu.
Wafanyakazi wenu mnatakiwa muwape barua ya onyo kwa kuwa negligent. Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
Ninakubaliana na wewe.imepigwa Uturn hiyo wameambiwa toeni tamko haraka kuzima
Kumbe mafwele ni mfanyakazi wenu?View attachment 3170012