Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Next time zitaanza kuunguzwa hizo gari wawe makini sana watu wamechafukwa wakiona vipi vipi yanaanza kutafutwa maandazi ya Mungu mapema sana
Sahihi mkuu. kilichowaponza ni ukambale unaanzaje kumfukuzia mtu na hamjui kama ana siraha ama lah!
Nina uhakika TRA hana mamlaka ya kwenda kukamata mtu bila kuwa na police yaani kienyeji tu. wapigwe ili wajue mipaka yao. Kama kusema tumesema sana humu hawasikii
 
Kituo kinachofuata tumeshavuka stage sasa ni kushtuana hata kupigiana Simu Wazee na sisi shughuli km hizo zisitupite tunapenda kurusha mawe kwenye vioo vya magari, siku nyingine tupigiane hata simu basi sio mnarusha mawe peke yenu
 
Kabisa saivi inatakiwa tu Alert yaani ukisema watekaji na location ulipo chap sana fika pale na mawe
 
Mtakufa nyie 🤣🤣🤣.
kwani kulikuwa na ulazma wa kulikimbiza?namba za gari za usajili wake si zipo?mngeenda kumfuatilia kimya kimya sio kukumbizana.
hapo hapo tegeta ndipo aliposhushwa marehemu Mzee kibao.mnadhani mngeachiwa?mshukuru MUNGU amewapenda japo hajawapenda ZAIDI.
 
Pigwa vitofali ilisahaulika petroli na kiberiti tu yangekua mengine muda huu watu wangepigwa mishikaki fasta fasta
 
Nawasaidia TRA kuwapa MREJESHO WA HARAKA wa baadhi ya sauti za wananchi kwa ujumla wao tona mitandao mingine wana maoni gani katika hili.

Ni vema mamlaka husika zisome maoni hapa, na hata baadhi ya haya ninayoambatanisha na kuelewa tumefikishwa hapa, hatutarudi nyuma hadi Serikali itekeleze kweli wajibu wake wa kulinda usalama wetu!

IMG_8675.jpeg
IMG_8676.jpeg
IMG_8677.jpeg
IMG_8678.jpeg
IMG_8679.jpeg
IMG_8680.jpeg
IMG_8681.jpeg
IMG_8682.jpeg
IMG_8683.jpeg
IMG_8684.jpeg
IMG_8685.jpeg
IMG_8686.jpeg
IMG_8687.jpeg
IMG_8688.jpeg
IMG_8689.jpeg
IMG_8690.jpeg
IMG_8691.jpeg
IMG_8692.jpeg
IMG_8693.jpeg
IMG_8694.jpeg
IMG_8695.jpeg
IMG_8696.jpeg
IMG_8697.jpeg
IMG_8698.jpeg
IMG_8699.jpeg
IMG_8700.jpeg
IMG_8701.jpeg
IMG_8702.jpeg
IMG_8703.jpeg
IMG_8704.jpeg
 
Kwanini mfanye ukamataji? Mlishindwa kuwataarifu Polisi?

Kwa hali ilivyo nchini mnashindwa kusoma alama za nyakati na kuwa pro-active kubadili utaratibu ili kuilinda taasisi na kulinda wafanyakazi?

Acheni habari za kizembe hizo, au hela zimeshawalevya na kuwalegeza?
 
View attachment 3170012

UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)

Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.

Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.

Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.

Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.

Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"

Imetolewa na;

IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO

Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
POLIS MLIKUWA NAO?

KIPINDI HIKI WATU WANATEKWA HALAFU MNAJIPELEKA BILA KUWA NA POLIS WENYE UNIFORM UNATEGEMEA NI I?

MPIGWE TU.
 
POLIS MLIKUWA NAO?

KIPINDI HIKI WATU WANATEKWA HALAFU MNAJIPELEKA BILA KUWA NA POLIS WENYE UNIFORM UNATEGEMEA NI I?

MPIGWE TU.
Hata wangekua na polisi kingenuka na polisi wangeyachezea maandazi tu hawaaminiki hao wale jamaa si wanakuja na pingu kujifanya wao ni polisi hizo pingu wanazitoa wapi km sio polisi?
 
Back
Top Bottom