1704874008205.jpg
1704874012632.jpg

As you watch TB Joshua’s documentary pls bear what am about to say in mind.

I want to state some facts as I have been following this story since he passed.

So if your a conversant with Scoan(Synagogue church of all nations) you will know TB Joshua has wise men and disciples.

85% of these wise men and disciples are foreigners.

Before the prophet passed, these wise men and disciples were very powerful.

Most Sundays they handle deliverance, prayers and ministrations.

Also bear in mind TB Joshua had a wife Evelyn, she is also a prophetess. She was a prophetess before the TB married her.

While her hubby was still alive, she comes out ones in a while to preach and join in ministering to church members.

At some point she had a baby or something and now faced home and she rarely preached or do the Sunday deliverance.

Tb Joshua had an overwhelming membership and couldn’t handle the prayer line alone, so he ordained those wise men and Disciples.

Many of these wise men started acting like him, some became very powerful. Some left to start their respective ministry

People like wise man Daniel and wise man John chi, they left while TB Joshua was still alive.

But he still had lots of wise men and disciples many of them are not Nigerians.

Now this is where the story gets interesting.

Allegedly when TB Joshua died, these Wise men and Disciples took charge of the church.

They said that the prophet intended they take over.

That TB Joshua told them that they will take over from him..

These guys relegated Evelyn TB Joshua’s wife to the background, don’t forget she is a prophetess.

This rancor went full blown, these disciples and wise men fought Evelyn so much, they didn’t want her to even appear in the church.

They oppressed her so much that one day Evelyn woke up, I don’t know who helped her sha.

But it was alleged that she used the immigration and deported all those foreigners who wanted to take over the church from her, they way the deported all of them it was so funny.

She dealt with the foreigners and some of the Nigerians that joined the foreign wise men and disciples.

She is currently the lead pastor of Scoan, she has fully taken over the church, guess what ? The church is booming.

Evelyn has a special gift of healing, her church services are packed out just like when her hubby was still alive.

After reading this story, you should know why that stup!d story of Tb Joshua is surfacing now.

Evenly is the target, how dare she try to fight to take over the church from foreigners.

It is giving the vibes of “if we can’t have the church, let’s cripple it”

TB Joshua is dead, what’s the essence of the story, to arrest a dead man? Or for what?

Before you join to start bashing, give this analysis a deep thought.

Credit: mutale victory
@followers
 
1704888321476.jpg

Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia

Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko

Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC dhidi ya TB Joshua kujihusisha na vitendo vya udhalili ni mpango wa shetani kutaka kuichafua imani yetu

Shetani ni mwongo na baba wa huo, asemapo uongo asema yaliyo yake mwenyewe, kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo Yohana 8:44

Shetani ameamua kutumia uongo, Katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokelewa, 2Wathesalonike 2:9-12
 
Aaaa wapi!

Tuhuma hizi zilikuwepo muda mrefu na zilikuwa zikizimwa zimwa tu sababu ya pesa na umaarufu. After all, "The man of God" was too powerful and famous kwa hawa wahanga wake kuweza kupambana naye akiwa hai. Aliporomosha ghorofa sababu ya ujenzi wa hovyo na kuua watu 116 uliona akichukuliwa hatua yo yote? Binti aliyebakwa ndiyo unafikiri angeweza kupambana na mtu mwenye nguvu kama huyu? Nani angemsikiliza na kumwamini? Isitoshe wahanga wengi wa haya mambo wanakuwa so manipulated na psychologically damaged mpaka wamepoteza identity yao na thamani yao. Ni mpaka baadaye sana watesaji wao wakishafariki au kukamatwa ndiyo hupata ujasiri wa kujitokeza hadharani. Hata hapa napo ni baada ya kupatiwa ushauri nasaha na wataalamu wa saikolojia na sexual trauma.

Uzuri haya mambo huwa yanajitetea yenyewe. BBC wameshafanya investigative journalism yao na wamemaliza kazi yao. Na nijuavyo mimi mpaka kwenda public ni kweli wamejiridhisha madai ya hawa victims ni credible maana wanajua madhara yake ikiwa ni uwongo. Wanaweza kulipishwa mamilioni ya pounds wakishtakiwa.

Kilichobakia sasa ni mamlaka za Nigeria kufanya uchunguzi wao ili kukanusha au kuthibitisha kilichoripotiwa na BBC. Na estate ya TB Joshua itawajibika. Na naamini kutakuwa na ushahidi.

Kuhitimisha tu eti madai ya hawa waathirika yapuuzwe haisaidii cho chote maana ni kweli baadhi ya hawa watumishi siyo "watakatifu" kama wanavyojinadi. Na TB J hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho. Na Biblia ilishaonya kuhusu ujio wa manabii wa uwongo!

Yupo Apologetic mmoja alikuwa akiitwa Ravi Zacharias. Mtafute Google ukiweza kama hawajafuta video zake. Alikuwa smart balaa na Alikuwa anakwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali duniani na kupambana na atheists akina Kiranga kihoja na kimantiki ni kwa nini lazima kuna Mungu; na kwa nini Yesu Kristo ndiye njia sahihi na ya kweli kufika mbinguni. Alikuwa na chuo kikuu chake huko Atlanta, Georgia Marekani na kilikuwa na matawi karibia dunia nzima.

Alipokufa mazishi yake yalihudhuriwa na viongozi wa kila aina akiwemo makamu wa rais wa Marekani Mike Pence.

Ilikuja kugundulika baadaye kwamba kumbe naye alikuwa na mambo kama haya haya anayotuhumiwa TB Joshua na madai yalikuwepo tangu akiwa hai lakini yalikuwa yakizimwa zimwa tu kwa sababu ya umaarufu wake na nguvu ya pesa. Estate yake yenyewe iliyoachwa chini ya mikono ya binti yake ilifanya uchunguzi na kugundua kuwa madai hayo yalikuwa ni ya kweli na ikaahidi kuwalipa waathirika wote. Chuo Kikuu kikafungwa. TV, Redio na vyote leo havipo tena. Huzuni tupu!

Mungu huwa hadhihakiwi na apandacho mtu ndicho atakachovuna. Acheni ukweli uwekwe wazi bila kuleta vitisho maana baadhi ya mambo yanayofanywa na baadhi ya hawa mitume na manabii wa kisasa hawa ni aibu tupu!

Shika sana ulichonacho na tuache hii tabia ya kuabudu watu (personality cults). Nao ni binadamu tu kama sisi na baadhi yao hawana utakatifu wo wote!

Tuwaombee bila kukoma hawa watumishi ili wasimame katika kweli maana wanapokengeuka madhara yake ni makubwa sana!👇🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

Screenshot_20240110_155500_Gallery.jpg
 
View attachment 2867442
Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia

Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko

Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC dhidi ya TB Joshua kujihusisha na vitendo vya udhalili ni mpango wa shetani kutaka kuichafua imani yetu

Shetani ni mwongo na baba wa huo, asemapo uongo asema yaliyo yake mwenyewe, kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo Yohana 8:44

Shetani ameamua kutumia uongo, Katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokelewa, 2Wathesalonike 2:9-12
Unadhani BBC ni Radio Free Africa?
 
Aaaa wapi!

Tuhuma hizi zilikuwepo muda mrefu na zilikuwa zikizimwa zimwa tu sababu ya pesa na umaarufu. After all, "the man of God" was too powerful and famous kwa hawa "victims" wake kuweza kupambana naye akiwa hai.

Uzuri haya mambo huwa yanajitetea yenyewe. BBC wameshafanya investigative journalism yao na wamemaliza kazi yao. Na nijuavyo mimi mpaka kwenda public ni kweli wamejiridhisha madai ya hawa victims ni credible maana wanajua madhara yake ikiwa ni uwongo. Wanaweza kulipishwa mamilioni ya pounds wakishtakiwa.

Kilichobakia sasa ni mamlaka za Nigeria kufanya uchunguzi wao ili kukanusha au kuthibitisha kilichoripotiwa na BBC. Na estate ya TB Joshua itawajibika. Na naamini kutakuwa na ushahidi.

Kuweka tu vitisho hivi na kujiapiza hivi wala haisaidii cho chote maana ni kweli baadhi ya hawa watumishi siyo "watakatifu" kama wanavyojinadi. Na TB J hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho!

Yupo Apologetic mmoja alikuwa akiitwa Ravi Zacharias. Mtafute Google ukiweza kama hawajafuta video zake. Alikuwa smart balaa na Alikuwa anakwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali duniani na kupambana na atheists akina Kiranga kihoja na kimantiki ni kwa nini lazima kuna Mungu; na kwa nini Yesu Kristo ndiye njia sahihi na ya kweli kufika mbinguni. Alikuwa na chuo kikuu chake huko Atlanta, Georgia Marekani na kilikuwa na matawi karibia dunia nzima.

Alipokufa mazishi yake yalihudhuriwa na viongozi wa kila aina akiwemo makamu wa rais wa Marekani Mike Pence.

Ilikuja kugundulika baadaye kwamba kumbe naye alikuwa na mambo kama haya haya anayotuhumiwa TB Joshua na madai yalikuwepo tangu akiwa hai lakini yalikuwa yakizimwa zimwa tu kwa sababu ya umaarufu wake na nguvu ya pesa. Estate yake yenyewe iliyoachwa chini ya mikono ya binti yake ilifanya uchunguzi na kugundua kuwa madai hayo yalikuwa ni ya kweli na ikaahidi kuwalipa waathirika wote. Chuo Kikuu kikafungwa. TV, Redio na vyote leo havipo tena. Huzuni tupu!

Mungu huwa hadhihakiwi na apandacho mtu ndicho atakachovuna. Acheni ukweli uwekwe wazi bila kuleta vitisho maana baadhi ya mambo yanayofanywa na baadhi ya hawa mitume na manabii wa kisasa hawa ni aibu tupu!

Shika sana ulichonacho na tuache hii tabia ya kuabudu watu. Ni binadamu tu kama sisi na baadhi yao hawana utakatifu wo wote!

Tuwaombee bila kukoma ili wasimame katika kweli maana wanapokengeuka madhara yake ni makubwa sana!
Mungu hayupo mkuu.

Angekuwepo asingeruhusu watu watumie jina lake kubaka watoto, kufanya hadaa na uchafu hivi.

That is just simple logic.

Ukishajua hilo, hawa wajingawajinga kina TB Joshua hawawezi kukusumbua.

Hizi dini ni siasa na hustle za watu tu kujitafutia maisha na kupambana na hali zao.
 
Ila walichokosea ni kimoja kwanini wasingetoa pindi alipokua hai??

Kwasasa hata kama ni ukweli itqonekana ni uzushi wa kutaka kuchafua legacy yake

Allow mtu wa MUNGU apumzike
Sasa ulitaka watoe kitu ambacho hakijakamilika?

TB Joshua alizuia mengi yasisemwe, kwa sababu watu walimuogopa, kwa sababu alihonga pesa nyingi. Mpaka watu wa serikalini.

Jumba lake limeporomoka, kwa sababau kajenga ovyo, watu 116 wamekufa, kazuia waokoaji kuokoa, rais wa nchi badala ya kutaka achunguzwe na awajibishwe, ndiyo kwanza anaonekana kwenye TV anampa pole TB Joshua.

Sasa mtu kama huyo unategemeaje akabiliwe kirahisi?

Angalia documentaries, wameongea yote haya.

TB Joshua tulijua ni tapeli tangu alivyokuwa hai, tulikuwa tunacheka tu alivyowashikia akili watu wajinga na walio desperate.

Hakuna mtu wa Mungu wala Mungu.

Wote tunapambana na hali zetu tu.

Dini ni siasa ya kale iliyovikwa utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.
 
View attachment 2867442
Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia

Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko

Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC dhidi ya TB Joshua kujihusisha na vitendo vya udhalili ni mpango wa shetani kutaka kuichafua imani yetu

Shetani ni mwongo na baba wa huo, asemapo uongo asema yaliyo yake mwenyewe, kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo Yohana 8:44

Shetani ameamua kutumia uongo, Katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokelewa, 2Wathesalonike 2:9-12
Kwani TB Joshua ndiye Kristo? Kumpinga TB Joshua ndiyo kumpinga Yesu Kristo?

Mimi napenda immanent critique. Yani, kukupinga kwa kuanzia na kukubaliana nawe.

Just for immanent critique, tuseme mimi Mkristo, for the sake of argument. Naiamini Biblia.

Unaelewa hata Biblia imetabiri kutokea kwa manabii wa uongo?

Kwa hiyo unaibishia Biblia kwamba haiwezekani manabii wa uongo kuwepo?

Ukibishia unabii kwamba kutatokea manabii wa uongo, unabii ambao ulitolewa na Yesu, huoni kwamba na wewe utakuwa mpinga Kristo hapo?

Ukiukubali unabii huo kwamba kutatokea manabii wa uongo, huoni kwamba inawezekana TB Joshua akawa mmoja wa manabii hao na kumpinga TB Joshua si lazima kuwe kumpinga Yesu?

Hivi hii Biblia huwa mnaisoma? Au mnashabikia tu dini bika kuisoma?

In the Sermon on the Mount (Matthew 7:15–20), Jesus warns his followers of false prophets

"Beware of false prophets, who come to you in sheep's clothing but inwardly are ravenous wolves. You will know them by their fruits. Are grapes gathered from thorns, or figs from thistles? So, every sound tree bears good fruit, but the bad tree bears evil fruit. A sound tree cannot bear evil fruit, nor can a bad tree bear good fruit. Every tree that does not bear good fruit is cut down and thrown into the fire. Thus you will know them by their fruits."
 
Aaaa wapi!

Tuhuma hizi zilikuwepo muda mrefu na zilikuwa zikizimwa zimwa tu sababu ya pesa na umaarufu. After all, "the man of God" was too powerful and famous kwa hawa "victims" wake kuweza kupambana naye akiwa hai.

Uzuri haya mambo huwa yanajitetea yenyewe. BBC wameshafanya investigative journalism yao na wamemaliza kazi yao. Na nijuavyo mimi mpaka kwenda public ni kweli wamejiridhisha madai ya hawa victims ni credible maana wanajua madhara yake ikiwa ni uwongo. Wanaweza kulipishwa mamilioni ya pounds wakishtakiwa.

Kilichobakia sasa ni mamlaka za Nigeria kufanya uchunguzi wao ili kukanusha au kuthibitisha kilichoripotiwa na BBC. Na estate ya TB Joshua itawajibika. Na naamini kutakuwa na ushahidi.

Kuhitimisha tu eti madai ya hawa waathirika yapuuzwe haisaidii cho chote maana ni kweli baadhi ya hawa watumishi siyo "watakatifu" kama wanavyojinadi. Na TB J hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho!

Yupo Apologetic mmoja alikuwa akiitwa Ravi Zacharias. Mtafute Google ukiweza kama hawajafuta video zake. Alikuwa smart balaa na Alikuwa anakwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali duniani na kupambana na atheists akina Kiranga kihoja na kimantiki ni kwa nini lazima kuna Mungu; na kwa nini Yesu Kristo ndiye njia sahihi na ya kweli kufika mbinguni. Alikuwa na chuo kikuu chake huko Atlanta, Georgia Marekani na kilikuwa na matawi karibia dunia nzima.

Alipokufa mazishi yake yalihudhuriwa na viongozi wa kila aina akiwemo makamu wa rais wa Marekani Mike Pence.

Ilikuja kugundulika baadaye kwamba kumbe naye alikuwa na mambo kama haya haya anayotuhumiwa TB Joshua na madai yalikuwepo tangu akiwa hai lakini yalikuwa yakizimwa zimwa tu kwa sababu ya umaarufu wake na nguvu ya pesa. Estate yake yenyewe iliyoachwa chini ya mikono ya binti yake ilifanya uchunguzi na kugundua kuwa madai hayo yalikuwa ni ya kweli na ikaahidi kuwalipa waathirika wote. Chuo Kikuu kikafungwa. TV, Redio na vyote leo havipo tena. Huzuni tupu!

Mungu huwa hadhihakiwi na apandacho mtu ndicho atakachovuna. Acheni ukweli uwekwe wazi bila kuleta vitisho maana baadhi ya mambo yanayofanywa na baadhi ya hawa mitume na manabii wa kisasa hawa ni aibu tupu!

Shika sana ulichonacho na tuache hii tabia ya kuabudu watu (personality cults). Nao ni binadamu tu kama sisi na baadhi yao hawana utakatifu wo wote!

Tuwaombee bila kukoma hawa watumishi ili wasimame katika kweli maana wanapokengeuka madhara yake ni makubwa sana!
Kondoo hawatakuelewa hapa mkuu, watu wanaamini kila anayejiita Nabii na akafanikiwa kupata pesa umaarufu na wafuasi wengi basi anamhubiri Mungu wa kweli, sijui kinachowahadaa watu ni nini kiasi wanashindwa kugundua hadi vitu ambavyo viko clear kabisa kwa macho ya nyama na akili ya kawaida tu
 
Haya mambo ni magumu sana ndugu yangu. Si tumeona hapo katika msitu wa Nyakahola kwa majirani. Watu wameaminishwa wafe na njaa ili wakakutane na Yesu. Unajua njaa inavyouma. Sasa fikiria mpaka mtu unafika ile hatua viungo vya ndani vinaanza kuzima lakini mtu umekaza tu...na uwezo wa kula unao. Hata waliookolewa ilibidi kuwalisha kwa nguvu vinginevyo nao walitaka sana waende kukutana na Yesu.

Haya mambo ni magumu sana! Na cult followers huwa hawaelewi cho chote mpaka baadaye sana wakishatokamo.
 
Cults zinaonesha saikolojia ya watu ilivyo tata.

Angalia Kibwetere wa Uganda, angalia Mackenzie wa Kenya.

Haya, unaweza kusema huko Afrika watu wajinga.

Angalia Jim Jones, angalia Heavens Gate, angalia David Koresh, wote hawa USA.

Whitney Houston katika wimbo wake "The Greatest Love of All" aliimba hivi.

"Everybody is searching for a hero.
People need someone to look up to..."

Na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
 
Kondoo hawatakuelewa hapa mkuu, watu wanaamini kila anayejiita Nabii na akafanikiwa kupata pesa umaarufu na wafuasi wengi basi anamhubiri Mungu wa kweli, sijui kinachowahadaa watu ni nini kiasi wanashindwa kugundua hadi vitu ambavyo viko clear kabisa kwa macho ya nyama na akili ya kawaida tu
Kuna saikolojia fulani inawaonesha watu wengi kuwa ni wanyama fulani tu bado.

Kuna herd mentality inafanya watu wawe kondoo.

TB Joshua alijua hii saikolojia.

1. Alitumia pesa na mafanikio kuvutia watu masikini.

2. Alitumia miujiza feki kuvutia watu wanaopenda miujiza.

3. Alitumia wazungu kuvuta akili za Waafrika wajinga wengi. Kwenye documentary wameongelea hili kwamba Muafrika mjinga mara nyingi hata kama hakuamini, akiona Mzungu kakuamini inakuwa rahisi sana kumkamata, anaona huyu mtu kama hata wazungu wanamkubali basi lazima atakuwa anasema kweli.

4. Alitumia wanasiasa ambao na wao walimuhitaji kujitakasa waonekane watakatifu. Yani ilikuwa biashara ya Pwagu na Pwaguzi. TB Joshua nabii tapeli anatumia wanasiasa kuendesha mambo yake, na wanasiasa waongo wanamtumia TB Joshua kujisafisha waoneoane wasafi wanakubalika na mtu wa Mungu.

5. Alijua kutumia mwanya wa mapungufu ya social services kwa watu masikini. Nchi isiyo na hospitali, isiyo na ajira, isiyo na elimu watu wamepigika, hawana matumaini, TB Joshua akaibuka kama mtu wa Mungu mwenye kufanya miujiza, kuwapa watu magunia ya mchele na pesa, watu wakaona huyu ndiye nabii wa kweli. Serikali zingemaliza matatizo ya watu zingepunguza mianya ya hawa matapeli kuibuka.

Tanzania na sisi tujifunze, kwa sababu tunao watu kama TB Joshua.
 
View attachment 2867442
Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia

Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko

Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC dhidi ya TB Joshua kujihusisha na vitendo vya udhalili ni mpango wa shetani kutaka kuichafua imani yetu

Shetani ni mwongo na baba wa huo, asemapo uongo asema yaliyo yake mwenyewe, kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo Yohana 8:44

Shetani ameamua kutumia uongo, Katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokelewa, 2Wathesalonike 2:9-12
Aisee WaAfrika kweli hamna akili hasa hasa suala likija la dini kuwahusu
 
View attachment 2867442
Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia

Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko

Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC dhidi ya TB Joshua kujihusisha na vitendo vya udhalili ni mpango wa shetani kutaka kuichafua imani yetu

Shetani ni mwongo na baba wa huo, asemapo uongo asema yaliyo yake mwenyewe, kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo Yohana 8:44

Shetani ameamua kutumia uongo, Katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokelewa, 2Wathesalonike 2:9-12

We jinga kabisa, you better stop thinking like an idiot
 
no research no right to speak!fanya investigation yako na ww uje na hoja za kupinga!
 
Kuna saikolojia fulani inawaonesha watu wengi kuwa ni wanyama fulani tu bado.

Kuna herd mentality inafanya watu wawe kondoo.

TB Joshua alijua hii saikolojia.

1. Alitumia pesa na mafanikio kuvutia watu masikini.

2. Alitumia miujiza feki kuvutia watu wanaopenda miujiza.

3. Alitumia wazungu kuvuta akili za Waafrika wajinga wengi. Kwenye documentary wameongelea hili kwamba Muafrika mjinga mara nyingi hata kama hakuamini, akiona Mzungu kakuamini inakuwa rahisi sana kumkamata, anaona huyu mtu kama hata wazungu wanamkubali basi lazima atakuwa anasema kweli.

4. Alitumia wanasiasa ambao na wao walimuhitaji kujitakasa waonekane watakatifu. Yani ilikuwa biashara ya Pwagu na Pwaguzi. TB Joshua nabii tapeli anatumia wanasiasa kuendesha mambo yake, na wanasiasa waongo wanamtumia TB Joshua kujisafisha waoneoane wasafi wanakubalika na mtu wa Mungu.

5. Alijua kutumia mwanya wa mapungufu ya social services kwa watu masikini. Nchi isiyo na hospitali, isiyo na ajira, isiyo na elimu watu wamepigika, hawana matumaini, TB Joshua akaibuka kama mtu wa Mungu mwenye kufanya miujiza, kuwapa watu magunia ya mchele na pesa, watu wakaona huyu ndiye nabii wa kweli. Serikali zingemaliza matatizo ya watu zingepunguza mianya ya hawa matapeli kuibuka.

Tanzania na sisi tujifunze, kwa sababu tunao watu kama TB Joshua.

Sensible thinking
 
Back
Top Bottom