Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 3,959
- 9,787
• Mwili unakuwa upo kitandani, Umepumzika kotokana na mihangaiko ya hapa na pale.Hii sio hoja sababu kuna sehemu nyingi hujawahi ona mtu akienda zikiwemo sayari kwenye galaxy nyingine.
Unapokuwa umelala ukaota upo chooni, mwili wako unakuwa wapi?
• Safari za kwenda sayari Nyingine, hizo ni safari za kibinadamu, siyo safari za mfu. Ndo maana wanatumia vyombo vya anga.