Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

Karume ana kosa gani? Kwani nani aliyenyimwa kugombea? Kwa nini hamwaongelei akina Bush na Clintons au akina Buttho wa Pakistani? Pakistani mtoto ana miaka 19 tu yuko Oxford na tayari M/kiti PPP!
 
Mtu mwenyewe anavyoongea tu unamuona kabisa kwamba ameshindwa hata kabla hajaanza hiyo safari yenyewe. Tena wanatakiwa wamrudishe haraka sana nyumbani maana inaonekana hata kazi yenywe ya udiplomasia haiwezi kwa jinsi anavyobwabwaja!
 
By the way Jamaa ni mlevi haswa anakata kinywaji balaa ...hulewa na kukata fuzy...sasa akiwa raisi halafu akate fuzy kirahisi si itakuwa balaa ikulu?
 
mie naona apewe tu hiyo haki yake ya kugombea wazanzibari si hewallah bwana, labda akaangukie kwa mkapa maana nyerere waliomuangukia mwanzo ndio hayupo.

maana mama Fatuma alienda kulia kwa nyerere ili Amani apite.

la si hivyo kwa hizo bezo zake na kejeli ajue hapiti hata hapo Ofisi kuu kisiwandui seuze kuwa Rais wa Zanzibar.

Rais wa zanzibar kwa tiketi ya CCM ni sura mpya kabisa ambayo hakuna anayeweza kuibashiri leo
 
Mtu mwenyewe anavyoongea tu unamuona kabisa kwamba ameshindwa hata kabla hajaanza hiyo safari yenyewe. Tena wanatakiwa wamrudishe haraka sana nyumbani maana inaonekana hata kazi yenywe ya udiplomasia haiwezi kwa jinsi anavyobwabwaja!

Chama cha madereva ya teksi Tanzania kinatakiwa kumtaka huyu bwana awaombe msamaha kwa kuwadhalilisha.Kwani hawezi kutokea dereva wa teksi mwenye sifa zote za kuongoza nchi?

Kama kuna Mzee alishakaa kwenye uongozi ana sifa zote na msafi katuliza boli na teksi yake baadaya palanja la "Fong style" anataka kugombea urais Zanzibar je?

Huyu bwana amejaa kujishaua.Kazi yenyewe kapewa kwa jina la baba anataka kubabaisha watu.
 
mie naona apewe tu hiyo haki yake ya kugombea wazanzibari si hewallah bwana, labda akaangukie kwa mkapa maana nyerere waliomuangukia mwanzo ndio hayupo.

maana mama Fatuma alienda kulia kwa nyerere ili Amani apite.

la si hivyo kwa hizo bezo zake na kejeli ajue hapiti hata hapo Ofisi kuu kisiwandui seuze kuwa Rais wa Zanzibar.

Rais wa zanzibar kwa tiketi ya CCM ni sura mpya kabisa ambayo hakuna anayeweza kuibashiri leo

Mtu w pWANI,

Sura mpya itatoka wapi CCM? Hapo ni wale wale, mambo yale yale, ufisadi ule ule, ni Mwinyi vs Bilali.
 
Mtu w pWANI,

Sura mpya itatoka wapi CCM? Hapo ni wale wale, mambo yale yale, ufisadi ule ule, ni Mwinyi vs Bilali.

mzee amini usiamini kuna damu mbichi ndani ya CCM safari hii zitaibuka, na hawa wanaojishaua saa hizi hawana lolote. na wanajua wakifanya mchezo mzee madevu atatinga ikulu sasa akili kichwani mwao
 
Mbona anaanza mipasho kabla hata fomu hazijatolewa? Halafu huyu ndio balozi katika kituo muhimu kama Italy!

Kama akipata he will lead Zanzibar and spend in his spare time as professional comedian....
 
kwani ile kanuni ya mwana ccm kutotangaza nia yake ya
kugombea uraisi kabla ya chama kutoa ruhusa haipo tena?
au sijaielewa vyema hiyo kanuni? nakumbuka sumaye
alipata dhoruba alipoeleza nia yake ya kugombea uraisi
kabla ya "wakati".
 
kwani ile kanuni ya mwana ccm kutotangaza nia yake ya
kugombea uraisi kabla ya chama kutoa ruhusa haipo tena?
au sijaielewa vyema hiyo kanuni? nakumbuka sumaye
alipata dhoruba alipoeleza nia yake ya kugombea uraisi
kabla ya "wakati".

mi aliponiudhi ni kudharau taaluma nyingine..ina maana wanamuziki, wapishi, madereva taksi ni raia wa daraja la pili nchi hii na hawawezi kuwa na sifa za kugombea urais?

Mbona keshashindwa kabla ya wakati wake au bado mapinduzi yanamlinda kusema chochote atakacho?
 
Ingekuwa matokeo ya uchaguzi yanaheshimika, mimi nisingekuwa na tatizo naye. Ubaya unakuja kwamba hapo kwetu hatuheshimu kabisa matokeo ya uchaguzi, kiachojali ni kwa mgombea kubarikiwa na CCM tu. Sasa kwa hali hiyo ndipo ninapoona haja ya hawa jamaa kuacha kung'anga'nia uongozi kiukoo. Kwa vile CCM ni ya watakuwa wanapena amadaraka tu bila hata ridhaa ya wananchi.
 
Uongozi unakuwa ni kwa kugongeana na sio umakini na ufanisi wa kutekeleza sera za kuwasaidia WTZ wote bila ubaguzi na kuona keki ya Taifa inafaidiwa na wote.

Hawa mafisadi wamejisahau kweli wanafikiri tutawaacha tu waendelee kutuibia.
 
Quote"Msije mkafanya kosa kumchagua mtu mwenye sifa ya usomi, lakini kumbe kusomea kwenyewe ni kupiga kinanda au kwa mfano mtu kasomea kusonga ugali aje kuwa mgombea. Kwa nini asitafutwe mtu kama Balozi Karume aliyesomea Uchumi, Diplomasia na Utawala katika Biashara na kumpa nchi, kuliko kumtafuta dereva wa teksi," alibeza Karume.

Now wait a minute, haya ni maneno ya kutamkwa na mwananchi anayetaka kuwa rais wetu huko visiwani? Unajua hiii ndio faida ya secretive affirmative Act, ambayo bongo tumekuwa nayo kwa muda mrefu, yaani kuona kuwa pia kuna viongozi toka visiwani kwenye sekta zetu mbali mbali za taifa na sio wa bara tu! I mean yes kwa sababu huwezi kuniambia kuwa huyu ni balozi wetu tena wa Italy, among all the countries duniani!

Huyu si ndiye mwenye mke anaitwa Huda something na ambao wote hulewa na kulala popote, halafu anataka urais? Kwanza amekuwaje hata akafikia ubalozi? Huko foreign kuna wananchi wangapi wenye uwezo wamewekwa pemebeni? Anyway ni uamuzi wenu huko visiwani yaaani nimenawa mikono!

Yaaani kweli huyu utamuweka meza moja na kina Manongi, Mama Taji, Mama Mulamula, Francis, Komando, ambao wamesota huko foreign na hawana nchi mpaka leo?
 
"Msije mkafanya kosa kumchagua mtu mwenye sifa ya usomi, lakini kumbe kusomea kwenyewe ni kupiga kinanda au kwa mfano mtu kasomea kusonga ugali aje kuwa mgombea. Kwa nini asitafutwe mtu kama Balozi Karume aliyesomea Uchumi, Diplomasia na Utawala katika Biashara na kumpa nchi, kuliko kumtafuta dereva wa teksi,"

Quote of the year 2008 - Hands down. It will take something to beat this one.

Halafu mimi nataka nisomee kupika ugali wa mhogo.
 
Hivi Karume amekuwa Balozi kwa miaka mingapi? Je atamaliza mda wake lini?

Hakuna vijana wasio walevi wanayoiweza hii kazi?

Kuna haja to overhaul system na kuwa na damu mpya! Statements kama hizo hutokea kwa hawa 'wateule' kulewa madaraka!

Siku nenda rudi miaka- watu ni hao hao- yaani Msitu Mpya lakini Nyani ni Wale Wale!

Je tutafika?
 
Kilichosababisha mapinduzi Zanzibar ni style ya uongozi sasa kisiwa kinageuzwa kuwa na utawala wa Kisultan, hadi wajukuu watatawala Zanzibar.
 
Hakuna lolote wa nini hapo bwana mdogo Dr Hussein Mwinyi ndio anachukua nchi kwani hujui rais wa Zanzibar hajachaguliwa Zanzibar anachaguliwa tanzania Zanzibar wanapewa formality tu kuwa wapige kula kijana Mwinyi ndio anasubiriwa kupewa nchi shame on them kwani wanataka kufanya utawala wa kurithishana.
 
Back
Top Bottom