Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,470
- 70,590
Umetumwa tunajua....
unavitaka?Bado una viroba chumbani kwako?
Mimi naamini mawakili hawatamchagua Lissu kwani wanafurahishwa Na utendaji bora wa serikali ya awamu ya tano inayozingatia haki zote Za msingi Za binadamu.Mawakili jumamosi tuna kazi moja tu ya kumkata Tundu Lisu ili kukinusuru chama chetu kisifutwe na waziri wa sharia Dr. Harrison Mwakyembe
Kabisa amezoea kutenda makosa na kusingizia menginem
Hauwezi kua wakili wewe ni layman bila shaka wakili hua hawezi kua influenced kwenye kufanya maamuzi...ungelikua wakili ungeelewa kwamba sheria na sharia ni vitu viwili tofauti..amini hivyo...Mawakili jumamosi tuna kazi moja tu ya kumkata Tundu Lisu ili kukinusuru chama chetu kisifutwe na waziri wa sharia Dr. Harrison Mwakyembe
Mungu hana rafiki na mnafiki hii nchi ina wanafiki hadi mvua inaogopa kunyesha kwa wakati.Mawakili jumamosi tuna kazi moja tu ya kumkata Tundu Lisu ili kukinusuru chama chetu kisifutwe na waziri wa sharia Dr. Harrison Mwakyembe
Ungekuwa Wakili ungejua kuwa Mwakyembe hana mamlaka ya kuifuta TLSMawakili jumamosi tuna kazi moja tu ya kumkata Tundu Lisu ili kukinusuru chama chetu kisifutwe na waziri wa sharia Dr. Harrison Mwakyembe
Kama kweli watafuata ushauri huo wa kisaliti na kinyume cha demokrasia hao sio mawakili. Kwa mienendo ya kimahakama inavyoendeshwa kwa mgongo wa serikali usio huru basi kuna haja kutathmini kama kweli tunahitaji wala kupeleka watu mahakamani. Tukipata shida tumalizane tu hukuhuku. Au policcm wakianzisha msako kuna haja ya kukataa kukamatwa kwa sababu tunajua hakuna haki tena. Kutakuwa na mpambano utakaleta heshima ya kutafakari utawala huuKuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?