Bashite wino wote huu wa bundle unaumalizia kwa kutoa puvu hivi?Kwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushi
wa mchana kweupeee...
nikikuuliza , nani facilitators na sponsors wa mafunzo hayo ya jando na unyago (maana umesema wanaenda kufundwa) , nitajie wanachama au mawakili hao wa serikali, muda ambao mwatafundwa(kama ulivyyosema) , ukumbi wataofundwa, mada watazofundwa, lengo la kufundwa, etc maswali ni mengi sana , kwa sasa nakuachia hapa ili ukitoka ufipa nikuendelezee dozi.
Huu ni ujinga ulio pitiliza.Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
wewe ni muongo na mfitini. sheria inakataza kusambaza uongo.ukifikishwa mahakamani kwa uongo huu utasema umeonewa????
Kwanini wewe usitumie bundle lako kumpakulia materia mwenyekit aweze kudesa ili walau aweze hata kuhitimu kwa ngazi ya cheti cha awali masomo yake ya "basic certificate in Ufipa movement & Nyumbu dvp" kutoka chuo cha Bilcanas.Bashite wino wote huu wa bundle unaumalizia kwa kutoa puvu hivi?
Kwanini hela yako ya bundle usingetumia kusoma vitabu online vikakusaidia kupanua uelewa wako wa mambo.
Kwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushi
wa mchana kweupeee...
nikikuuliza , nani facilitators na sponsors wa mafunzo hayo ya jando na unyago (maana umesema wanaenda kufundwa) , nitajie wanachama au mawakili hao wa serikali, muda ambao mwatafundwa(kama ulivyyosema) , ukumbi wataofundwa, mada watazofundwa, lengo la kufundwa, etc maswali ni mengi sana , kwa sasa nakuachia hapa ili ukitoka ufipa nikuendelezee dozi.
Leta ushahidi ulio dhahiri bila kuacha chembe ya shaka tuone.jibu
Aliefadhili=Magufuli na mwakiembe
mtoa hoja =Wasonga hahaha
Siji ng'oo!
Ila in Ufipa & Buguruni always lamenting even dvp strategies and initiatives.In africa always no democracy
Mkuu kwa povu hilo usikute kweliKwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushi
wa mchana kweupeee...
nikikuuliza , nani facilitators na sponsors wa mafunzo hayo ya jando na unyago (maana umesema wanaenda kufundwa) , nitajie wanachama au mawakili hao wa serikali, muda ambao mwatafundwa(kama ulivyyosema) , ukumbi wataofundwa, mada watazofundwa, lengo la kufundwa, etc maswali ni mengi sana , kwa sasa nakuachia hapa ili ukitoka ufipa nikuendelezee dozi.
But in Ufipa & Buguruni always no free & fair election.In africa always no democracy
Hata Mimi nahisi kwa jinsi unavyonyesha mvua yawezekana uzushi umezid chumvi.Mkuu kwa povu hilo usikute kweli