KUCHITIMBO1970
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 482
- 221
Huyu Tindu mbona kukamatwa kila kukicha?.
Kesi anatushinda ila bado tunamng'ang'ania ana shida gani?.
Yafaa tujitathimini maana tunawapa kiburi wapinzani maana huku mitaani kuna watu wanasema bila kumsumbua Tindu na upinzani mambo mengi yatafukunyuliwa,sasa najiuliza huyu jamaa kwa nini analindwa kuliko kae kapori ka roriondo??