Tetesi: UCHAGUZI TLS: Mawakili wa serikali(TAMISEMI) "kufundwa" kesho Arusha, kura zao zaleta hofu

Huyu Tindu mbona kukamatwa kila kukicha?.
Kesi anatushinda ila bado tunamng'ang'ania ana shida gani?.
Yafaa tujitathimini maana tunawapa kiburi wapinzani maana huku mitaani kuna watu wanasema bila kumsumbua Tindu na upinzani mambo mengi yatafukunyuliwa,sasa najiuliza huyu jamaa kwa nini analindwa kuliko kae kapori ka roriondo??
 
Kuna kaarufu ka jnsi hiyo sidhani kama itakuwa rahisi kununuliwa au kutishwa kama wale jamaa wa mvummi,subirini siku yenyewe ndo mtajua kuwa kwa sasa tuna chuki
 
Watakuwa wajinga kama......, maana kesho watakuwa private practitioners, na maamuzi yao ya jmosi utakuwa mustakabari wao baada ya kustaafu!
 
Mkikubali kurubuniwa na SimbachaMsimbazi, mjue kesho mtakuwa private practitioners. Mtakalo liamua Jmosi ndio mustakabali wa maisha yenu baada ya kustaafu, mnadhani hamtastaafu! Tumia akili zenu changanya na za simba!
 
JHChase "The guilty are always afraid". What are they afraid of?
 
TUNDU LISSU ATASHINDWA KWA AIBU
 
Mawakili jumamosi tuna kazi moja tu ya kumkata Tundu Lisu ili kukinusuru chama chetu kisifutwe na waziri wa sharia Dr. Harrison Mwakyembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…