Uchaguzi ndani ya CDM unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

Tuambizane ukweli...
Niulize kwanza, Katiba Mpya ndiobitaenda kupambana na Rushwa na Ufisadi?

Sasa baada ya hizi tuhuma za Ufisadi na rushwa ndani ya CHADEMA, waanze kwa kuonyesha mfano ndani ya chama chao. Waweke hiyo Katiba mpya, wamchague Mwenyekiti mwingine baada ya huyu wa sasa kukaa kwa miongo miwili...na tuhuma za rushwa, halafu ndio waje wakoromee wananchi.

Uzeni Sera wana CHADEMA.
 
Katiba mpya haiandikwi na Chadema , Katiba mpya inaandikwa kwa kuzingatia maoni ya wananchi yanayoendana na wakati uliopo sasa . Katiba ya 1977 imepitwa na wakati . Hata wananchi wanawaunga mkono Chadema na ajenda ya katiba mpya .
 
Bado hujasema
 
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.

Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.

Chichi dodo
Harafu Kuna nyumbu wanaandamana 😂😂😂😂
 
Katiba mpya haiandikwi na Chadema , Katiba mpya inaandikwa kwa kuzingatia maoni ya wananchi yanayoendana na wakati uliopo sasa . Katiba ya 1977 imepitwa na wakati . Hata wananchi wanawaunga mkono Chadema na ajenda ya katiba mpya .
Katiba haibadilishwi kwa sababu tu ni ya mwaka 1977. Mbona Quran haipitwi na wakati?
 
Tulishasema siku nyingi CHADEMA ni kikundi cha michongo tukabezwa, kiko waaaapiiii?
 
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.

Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.

Chichi dodo
Tuhuma hizi kwa chadema ni nzito sana,ndio maana kila siku nawaambia humu kuwa ni waongo sana,bora lissu kawaumbua,na hapo Mbowe anajua rushwa ipo ila sababu yeye ndio dili zake,Lissu kamlipua.
 
Kweli kabisa, Kizizi yupo?
 
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.

Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.

Chichi dodo
Ccm angalau mmepata hoja na ahueni

Chadema wanajua kudeal na hizi issue ndogondogo tuwape muda

Kama walimfukuza halima mdee na wahuni wenzake 18,

Hawashindwi kitu

WalimfukuzA zito, kabourou, slaa, bananga, , na bado wako fit
 
Halima anarudi chadema, chiba hataamini macho yake, chiba anatukana mamba hajavuka mto? Alikuwa hoi kaoga risasi, watu wakamsaidia leo anawatukana?
 
Back
Top Bottom