Vichekesho
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 846
- 2,526
Bangi za Allah zimesha kuvuruga mfia dini.
Naziona dalili zote ulikunywa maji ya ubalozi wa Palestina na nyuma kwako kunawasha na kutaka kuzibuliwa.Hawawezi kumfanyia hivyo. Katika Sheria ya Palestine Baradhul hukumu yake ni kuuawa.
Nadhan utakuwa umeghafirika kidogo tu, Liwatwi/Ubaradhuli au Usenge umepewa Baraka zote Ndani na kwenye Madhabahu ya ROMAN CATHOLIC pale Rome ambapo Makasisi hulawiti vijana wadogo mpaka POPE akaona isiwe ngoja tuwabariki .
Kwahiyo kaa nalo hilo ili siku nyingine isije tokea ukajisahau tena
Sifa za kijinga kwa nani sasa?Sifa za kijinga
Mkuu yale ni maji masafi, bila shaka mimi siyo mtu wa kwanza kunywa yale maji.Unachezea tumbo kaka.
Kama ni miguu oga, kama ni kichwa osha ila si kuyaweka tumboni.
Ndiyo mkuu ni bure 100%Mhhh!!
Mwarabu akupe maji ya bure??
Sio bure.
Nitafanya hivyoTafuta kadi ya CCM unafaa kuungana na timu Lucas Mwashambwa
Bado tuna hali ngumu kama taifa.Assalam Aleykum!
Habari zenu wakuu,
mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu.
Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa pamoja na kiu ya maji huku nikiwa
Sina hata senti mfukoni mwangu japo ya kuniwezesha kununua andazi.
Ghafla nikatokea kwenye ubalozi wa Palestina hapa Dar es salaam,
ubalozi huu umeweka maji safi ya kunywa nje ya geti lao, ambapo mwenye uhitaji anaruhusiwa kunywa, kunawa n.k bila kuomba ruhusa,
Kwakweli hili ni jambo kubwa sana kwangu nimeliona,
bila shaka sote tunafahamu ni kiasi gani jua linawaka hapa jijini kwetu,
Kwa kitendo cha ubalozi kuweka maji safi kabisa na salama ya bure kwenye ubalozi wao wameokoa Maisha yangu.
Ni jambo zuri na lenye ubinadamu linalo faa kuigwa hata na balozi zingine ikiwemo ubalozi wa Israeli hapa Tanzania,
na hata taasisi zingine waige mfano huu wa serikali ya Palestina kupitia ubalozi wao hapa Tanzania.
Sifa za kijinga tuMkuu yale ni maji masafi, bila shaka mimi siyo mtu wa kwanza kunywa yale maji.
Na mpaka sasa tumbo liko salama hakuna mvurugo wowote
Mkuu jana nilikuona uwanjani Don Boscow Upanga ukiangalia basketball 🏀.Assalam Aleykum!
Habari zenu wakuu,
mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu.
Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa pamoja na kiu ya maji huku nikiwa
Sina hata senti mfukoni mwangu japo ya kuniwezesha kununua andazi.
Ghafla nikatokea kwenye ubalozi wa Palestina hapa Dar es salaam,
ubalozi huu umeweka maji safi ya kunywa nje ya geti lao, ambapo mwenye uhitaji anaruhusiwa kunywa, kunawa n.k bila kuomba ruhusa,
Kwakweli hili ni jambo kubwa sana kwangu nimeliona,
bila shaka sote tunafahamu ni kiasi gani jua linawaka hapa jijini kwetu,
Kwa kitendo cha ubalozi kuweka maji safi kabisa na salama ya bure kwenye ubalozi wao wameokoa Maisha yangu.
Ni jambo zuri na lenye ubinadamu linalo faa kuigwa hata na balozi zingine ikiwemo ubalozi wa Israeli hapa Tanzania,
na hata taasisi zingine waige mfano huu wa serikali ya Palestina kupitia ubalozi wao hapa Tanzania.
Hapana mkuu sikuwa mimiMkuu jana nilikuona uwanjani Don Boscow Upanga ukiangalia basketball 🏀.
Kumbe ndo haya
Hapo sawa wamefanya jambo sahivi. Maana homa ya tumbo sahivi imetake place.Mkuu yale ni maji masafi, bila shaka mimi siyo mtu wa kwanza kunywa yale maji.
Na mpaka sasa tumbo liko salama hakuna mvurugo wowote
Utawala wa Nyerere haukutaka kabisa kuwa na mahusiano ya Kibalozi na watu wenye hulka za kibaguzi, mauaji, na ukandamizaji wa haki za msingi za wengine.Sisi Israel hatuna ubalozi tz mbona
Nyuma kwake kukianza kuwasha tiba yake nini mkuu?Kunywa tu hayo maji yao.
Mwisho wa siku utaona nyuma kwako kunawasha kwa Kasi ya 5G.
Mhusika anajua kwa uzuri tiba yake.Nyuma kwake kukianza kuwasha tiba yake nini mkuu?
Kuchomelea hiyo koki ina maana wanawafahamu wabongo..
Mhhh!!
Mwarabu akupe maji ya bure??
Sio bure.
Maji tu,nikajua labda ulipigwa bomu na israel wakakutibuAssalam Aleykum!