Kwanini Tanzania haina Ubalozi katika nchi hizi?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
400
886
Hivi inakuwaje Tanzania tunapitwa na nchi hata Kenya na zingine kibao ndogo na maskini zaidi yetu kuwa na ubalozi wa nchi nyingi ila sisi mpk leo ubalozi wa Portugal hamna, nchi ya maana kama Australia hamna, Ukraine hamna, Argentina hamna, Israel hamna. Tuanze kuingia gharama kwenda nchi za jirani kuomba visa uko kweli?

Pesa tunafanyia anasa tu na rushwa. Hizo nchi hazishindwi kuwa na ubalozi huku ila sisi tunatakiwa tuwe nao sasa tunashindwa nn wakati raisi na Makamba wale kila kukicha nchi za watu kutumia hela za mamlaka?

Mnakera sana
 
Back
Top Bottom