Ubaguzi uliotia fora.

kuendesha serikali ya zanzibar masuali ya dini ya muhimu
Mtu wa Pwani
nini kinawakera ninyi wazenj na waisalamu kupitia sera yangu ya kushawishi wakristo kumchagua kwa kura za NDIYO mgombea yeyote yule ilihali awe mkristo,lengo ni kutokomeza mamizizi ya udini yanayotoka zenj na kuzama bahari ya HINDI hadi Tanganyika.

Mtu wa pwani ameweka dhahiri kuwa serikali ya zanzibar inaendeshwa kidini(nukuu sentensi yake hapo juu),hawajaridhika bado wanatamania na udini huo uimalzie Tanganyika,hahahahahahahhahaha,lazima Christian power ichukue nafasi as soon as posssible.

Wakristo fungueni macho,
kikulacho ki nguoni mwako,hawa wajameni wana agenda zao nyingi muno nyuma ya mapazia,siyo wa kuwaamini hata kidogo.
 
OK ni kweli Ndugu Mukombosi,lakini nahisi haya mambo huwa watu wanadai kwa faragha kupitia viongoizi walio madarakani, kwanini kwasababu hata hapa bara mambo haya yapo lakini huwa yanazungumzwa kwa faragha na sio in a Public kama hivi, sababu sijui.
Hata ukitazama ktk cabinet tuliyo nayo utaona kuna sehemu fulani wamewekwa watu wa imani moja(dini) ili kupata uwiano mzuri wa imani
 
..jmushi na mwkjj,

..thanks zenu hapo juu ni za nini?

..kwanza,hii si breaking news.

..pili,hizi ni propaganda za kibaguzi!

..ndio maana unaitwa mukombosi badala ya mkombozi!

Mkuu mbona hukuniuliza thanks zangu za nini kwa Mpita njia?
Mimi sio kuwa namsapoti mwenye hoja hii NO ila amekuja na mtizamo wake wa tofauti kwahio kazi ni kwenu kumjibu.
Mimi siamini kabisa suala la ubaguzi wa aina yoyote ile!
Niko hapa USA na napinga ubaguzi in all its forms!
 
Jmushi,

Naomba nikuelewe kidogo ndugu yangu, naweza nikajifunza kitu hapo.

Unaamisha una shukuru mtizamo wowote ule ambao ni wa tofauti?

No!
Ni hivi:
Kama nimemwelewa tofauti..Then anieleze!
Kwamba kama sisi tunasema Taifa letu ni moja...Then kwanini kusiwe na viongozi kadhaa wa dini zote ndani ta serikali zote?
Lakini ndugu yetu pia amesahau kuwa kama tukiwa na rais wa jamhuri ambaye ni mkristo anakuwa pia ni rais wa Zanzibar?!
Ama Zanzibar wana Rais wao ambaye hausiani kabisa na bara?
Kwa maoni yangu binafsi mimi nafikiri muungano unahitaji marekebisho la sivyo ni vurugu tuu!
Unguja na Pemba wasikilizwe vilio vyao so as watu wa bara kama tunataka muungano uneemeke!
La sivyo usishangae sumu mbaya ya utengano ikiwanyemelea watanzania na kuwaangamizia mbali
 
Hakuna ushujaa wowote katika nafsi za watu wanaochagua kujitenga kama utatuzi wa matatizo ya kitaifa.Tatizo lililopo miongoni mwa wanaofanya harakati za kujitenga na wale wanaowaunga mkono ni udhaifu wa kifalsafa unaowafanya washindwe kuelewa maana ya Taifa.

Maada ya uwiano wa kidini Zanzibar uliyoileta hapa ni dhaifu mno, haistahili hata kujadiliwa.
 
Si unaona hii habari hapo chini?
Sumu ya ubaguzi si nzuri jamani!
Tulikoe Taifa letu!

Kibao chawageukia Wapemba

2008-05-18 11:44:54
Na Mwinyi Sadallah,Zanzibar

Wasiwasi umetanda visiwani Zanzibar kufuatia kusambaa kwa vipeperushi vinavyowataka wakazi wa Pemba kuondoka haraka kisiwani Unguja na kurudi kwao.

Kukamatwa kwa wananchi saba wanaohusishwa na kosa la uhaini kumeonekana kusababisha chuki na uhasama wa kisiasa miongoni mwa wananchi wa Zanzibar.

Hali ya kisiasa visiwani hapa inazidi kuwa tete baada ya wananchi wa Unguja nao kusambaza vipeperushi vinavyounga mkono kisiwa cha Pemba kujitenga na vingine vikiwataka wapemba waondoke.

Baadhi ya wananchi waliohojiwa na Nipashe jana walisema sasa ndio itajulikana ipi mbichi na ipi mbivu, wenginewanasema wapemba ndio watakaopata shida zaidi iwapo wataamua kujitenga.

```Kuendelea kukamata watu Pemba ni sawa na kukaribisha machafuko, tunaomba Rais kikwete kusitisha mara moja zoezi hilo,``alisema Bw,Said Kombo mkazi wa Bububu.

Bw.Kombo alisema hivi sasa watu 10,000 waliosaini waraka huo wametishia kujisalimisha katika vituo vya polisi kitendo ambacho kinaweza kusababisha vurugu.

Wakizungumza kwa nyakati tafauti walisema hali ya kisiasa Zanzibar ilianza kutulia mara tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kukiri kuwepo mpasuko wa kisiasa na kuahidi kuushughulikia.

``Lakini sasa mambo yamegeuka na hali ni ya kusikitisha,`` alisema mkazi mmoja wa Unguja.
Bw. Salum Ahmed mkazi wa Mchangani mjini Unguja, alisema kukamatwa kwa watu hao kumerejesha hali ya wasiwasi na baadhi ya watu wameanza kukimbia maeneo wanayoshi.

``Kimsingi makosa ya uhaini ni pale watu wanapotaka kupindua serikali au kumuua Rais sidhani kama kutoa maoni ni kosa la uhaini.

Mbona waliokata umoja wa kitaifa na kusema hapana cha mseto hawakuambiwa wanahatarisha umoja wa kitaifa``, alisema Bw. Salum mbaye ni mwalimu.

Mfanyabiashara maarufu Zanzibar , Bw. Mohammed Raza, alisema serikali ya Muungano inapaswa kuwaachia watu hao waliokamatwa ili kuendeleza nia njema ya mazungumzo ya mwafaka baina ya CCM na CUF.

Alisema jambo la msingi kwa sasa ni kwa CCM na CUF kuendelea na mazungumzo ili kumaliza mpasuko wa kisiasa uliopo Visiwani.

Alisema matatizo yanayojitokeza Zanzibar hivi sasa yanachangiwa na mfumo mbaya wa
Katiba ya Muungano na ya Zanzibar.

Bw. Masoud Suleiman alisema tamko la Polisi kuwa kuna watu wengine wanaendelea kutafutwa litasababisha mazingira ya wasi wasi na baadhi ya wananchi kuanza kukimbia maeneo yao.

``Ndugu zangu wako Pemba na nimesikia kuna watu wameanza kukimbia, sasa mazingira kama haya yanaibua siasa za chuki``, alisema.

Alisema wananchi waliopeleka barua ofisi za Umoja wa Matifa jijini Dar es Salaam walikuwa wakitoa maoni yao kama Katiba ya nchi inavyowaruhusu na haikuwa busara kuwakamata na kuwafungulia mashitaka.

``Mbona kuna Wabunge wa CCM katika utawala wa mzee Mwinyi walipeleka hoja Bungeni ya kuwepo serikali tatu, kwa nini hawakukamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uhaini,`` alihoji Bw. Suleiman.

Wakati hali hiyo ya wasi wasi ikionekana wazi huku vipeperushi vya kurushiana matusi vikizagaa, Rais wa Zanzibar ,Bw.Amani Abeid Karume amenukuliwa akisema hali ya Zanzibar ni ya amani na shwari tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005.

Rais Karume aliyasema hayo jijini Washington Marekani alipokuwa na mazungumzo na Watanzania wanaoishi nchini humo.
  • SOURCE: Nipashe
 
Sasa tusiwe na wasiwasi kwamba haya mambo yanaweza kuhamia bara?
 
Hoja ya kipumbavu na haina msingi
Wewe ndie mpumbavu,kwani unatetea ubaguzi wa kipumbavu.
ukiangalia mazingira ya Zanzibar lakini kwa ufupi tu ni kuwa kulishakuwa na wawakilishi wakiristo Znz kama kina KIsasi mtu na dada yake
Upumbavu wako unaendelea tena hapa,kwa kutetea ubaguzi wa kifirauni.
Serikali nzima ilikuwa na wakristo wawili?

Wacha fikra zilizooza na kutaka kuwagawa Watanzania ambao upeo wao wa kufikiri uko zaidi ya hapo
Kwa taarifa yako wakristo wako kimya wamejikita kwa meza zao,upuuzi ulofanywa na mizizi ya ubaguzi huu ni ya muda mrefu dogo.
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60,watakumbuka chanzo cha kufukuzwa kwa wanafunzi pale UDSM miaka ya nyuma sana,Mzee wa Ruksa akiwa madarakani.
Unakifahamu hasa chanzo kile?nini hasa kilepelekea wazee wetu kufukuzwa wooote miaka ile?funga domo lako kwani huenda hujui nini kinatafutwa hapa.
 
Wewe unashabikia udini huko Znz kuwa makini sana nahoja unayoianzisha lakini hapo mlipofika kuitana wapumbavu ni pabaya kwa watu waungwana kwa mawazo yangu znz kuwa na viongozi wakristu 2 ni sahihi kwa kuwa asilimia 99 ya wakazi wa znz ni waislamu unategemea nini naomba hoja hiyo ifungwe kwa kuwa muelekeo wake siyo mzuri
 
Tunaomba watu wa bara nao wasiangalie hayo mambo ya asilimia huku bara la sivyo mambo hayatakuwa mazuri sana.
 
Kulikoniiii?????????!!!!!!!!!!!!!
Duuuuhh,Rubani unatisha,menikumbusha mbali munoooo.
Sababu ya wazee wa sasa(waliokuwa wanachuo miaka ile) kufukuzwa chuo kikuu ilibeba mengi,moja wapo ni ..................
hahahahah sichemi mie.
Naingia kwenye database nyeti hapa nintwarushia baadaye.
 
Waungwana ni nini kilichotokea hiyo miaka ya 60 huko Chuo kikuu?
Sisi wengine baba zetu walikuwa hata hawajafikiria kuoa!
 
Rubani naomba nikusahihishe kidogo si miaka ya 60
Waliofukuzwa chuo kikuu ilikuwa awamu ya Mzee wa Ruksa akiwa madarakani.
Baadhi ya wasomi walinasa nyuzi juu ya kamchezo fulani(kama kangefanikiwa tz isingekuwa kama ilivyo sasa) ka kisanii zaidi.Walipohoji kwa undani zaidi,ikabidi game libadilishwe na kuwapakazia vijana hao(leo hii ni wazee) wamekosa nidhamu.Walifukuzwa wote ili kupoteza ushahidi wenewe.
Rubani achana nao,tunashukuru MUNGU,walishindwa vinginevyo kungelikuwa na classes mbili kubwa sana hapa tz.
Mod funga mjadalaaa.
 
Kwahiyo huu mjadala ufungwe kwasababu tu wewe na rubani mnajua nini kilichotokea?
Sasa huo si ndio uselfishness wenyewe?
 
Heshima wakuu
Kumbe mizizi ya kuegemea upande wa dini fulani ilianza kitambo?!
Sioni sababu za kubishana sana hapa,neno moja ninalitaka kwa Wakristo wenzangu iweni macho,acheni kushiriki udugu wa kinafiki na hawa watu,laiti mngalijua agenda za hawa wabaguzi sidhani kama kuna mkristo hapa JFna kwingineko angalithubutu kuside upande wa hawa wabaguzi.
Sitaki hata wajirekebishe.
Dua yangu kwa MUNGU Muungano ufe hata leo hii,kwani hii sumu itatumaliza.
Hongera JK kwa kuwa silence,acha wamalizane wenyewe.
 
Mbona mnamaka kiasi hicho? Mukombosi amewastua kuwa kuna malalamiko katika jamii ya kikristo Zanziba. Anawastua kuwa kuna wengi Zanziba zaidi ya wapemba na waunguja (wakristo, wangazija n.k) na wote wana haki ya kutambuliwa. Ni kama vile sisi wa bara tunavyodhani kuwa Tanzania ni ya watu weusi tukisahau wahindi, wazungu na wengineo.

Bigots ni sisi tunaokataa kuwaona walio wachache katika jamii yetu! Ni haya ambayo yanawafanya waunguja na wapemba wasiweze kukaa na kumaliza tofauti baina yao. Tusiwe kama mbuni na kujifanya hatuoni matatizo yalio mbele yetu.
 
Heshima wakuu
Kumbe mizizi ya kuegemea upande wa dini fulani ilianza kitambo?!
Sioni sababu za kubishana sana hapa,neno moja ninalitaka kwa Wakristo wenzangu iweni macho,acheni kushiriki udugu wa kinafiki na hawa watu,laiti mngalijua agenda za hawa wabaguzi sidhani kama kuna mkristo hapa JFna kwingineko angalithubutu kuside upande wa hawa wabaguzi.
Sitaki hata wajirekebishe.
Dua yangu kwa MUNGU Muungano ufe hata leo hii,kwani hii sumu itatumaliza.
Hongera JK kwa kuwa silence,acha wamalizane wenyewe.
Mukombosi taratibu mkuu!
Tumeshakupata ila ni vyema kama tukisikiliza na wenzetu nao wana maoni gani kuhusu hili!
 
kwanza asilimia ya wakiristo zanzibar ni ngapi? haifiki hata 5! na naming a few kwa kumbukumbu zangu za siasa za tanzania nawakumbuka wakristo hawa waliowahi kushika nyazifa za juu visiwani.

Isack Sepetu
bregedia jenerali Mwakanjuki

isitoshe, kusikia jina mtu anaitwa Mrisho, au Amani, kusikutishe ukafikiria hao watu wanahusiana vyovyote na uislam, pengine wamekuwa waislam kimazingira tu, lakini hawafati wala hawanufaiki na dini hiyo au nyengine
 
Hata wangekuwa asilimia 0.1 wanastahili kusikilizwa! Asilimia ya wayahudi au waislamu marekani ni ngapi? Mbona wanadai kusikilizwa? Avaae kiatu ndiye anayejua kinapombana. Kuna kero nyingi zinazowakuta wakristu wanaoishi Zanziba (kuanzia uhuru wa kuabudu- si rahisi kupata kibali cha kufungua kanisa n.k) na zinabidi zijadiliwe.
 
Gaijin
Nashukuru kwa mchango wako.
Hawa watu(sina udugu nao hata kidogo).
Tutajenga makanisa zenj hadi wayalipue kwa kujitoa muhanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom