Ubaguzi uliotia fora.

Asalaam wakuu JF
Mkuu Mwanakijiji,utanisamehe,nimerudi ukumbini.

Hoja ya msingi ya wakina Mukombosi na wenzake kuwa wakristu hawatendewi haki Zanziba ina ukweli ndani yake.

Naam Fundi Mchundo,nashukuru kwa mchango wako.Ukweli unabaki palepale kwamba wakristo zanzibar hawatendewi haki,na serikali iliyopo madarakai na wananchi wake.

Tatizo lao wameiingiza kwa kutumia lugha ambayo hao wanaowatuhumu ndio wangetumia. Lugha ya kibaguzi. Lugha ya kukomoana. Hii haikuwa sahihi

Hapa nakiri kosa (kwa niaba ya wenzangu),but munielewe,niliingia kwa staili hii,baada ya kustukia wachangiaji wengi wanakuja kwa gia ya kutubeza na kutuita sisi wachonganishi,ili tu,watimize haja zao za kishenzi.

Kichwa chochote chenye akili,lazima kipondeke moyoni mwake na kuukubali ukweli,mukizingatia,ndugu,database aliweka na ushahidi(ingawa una mapungufu yake),lakini mijitu inajidai vichwa vigumu,kuukubali ukweli(sijui ni mikachero ya mafisadi!!!!????)

Wana JF,hapa tutafute dawa ya tatizo,na si kuongeza ugonjwa + chuki baina yetu.
 
Ugumu wa kuthibitisha hisia ni ukosefu wa takwimu thabiti. Wengi wanasema wakristo Zanzibar wanbaguliwa (kwenye siasa) katika uongozi lakini hakuna hta mmoja anyetueleza ni wakristo wangapi waliojaribu kugombea nafasi za kisiasa na kunyimwa sababu ya dini yao. Kuna majina machche ya familia ambazo zimehamia Zanzibarkarne iliyopita ambao wamekuwa kwenye siasa. Sidhani mzee Edington Kisasi au Adam Mwakanjuki walipewa nyadhifa zao kwa ajili ya asilia au imani zao. Walijaza nafasi zilizokuwepo kulingana na mahitaji ya wakati huo.
Swala la Zanzibar ni bahati mbaya viongozi wote wa CUF na CCM wameamua kutumia asilia kama mtaji wa kuongoza nchi na saa ukiingiza hii dimension ya dini miafaka haitakwisha.
Wakristo walioko Zanzibar kama wanainterest na siasa wachukue fomu na wapige kampeni kwa nia ya kuendeleza nchi na si jamii yao. personally si shabiki wa positive discrimination kama njia ya kuleta usawa katika jamii. Ushindi upatikane kwa jasho na sera jumuishi si mezani au kwa ubaguzi.
 
nahisi kama vile utakuwa na utindio wa ubongo.naomba ujaribu kumwona dkt kwa uchunguzi zaidi.
 
Uanjua manpoyatilia mkazo haya masuala ya dini mimi napata mashaka sana.

Kama mnaitakia mema hii nchi kwani mambo haya ya dini yamezisambaratisha nchi nyingi sana,lakini unapozungumzia kwamba akina Mwakambiki na wenzie hawomo tena katika systeam lakini ni juhudi zao binafsi ndizo zilizowafikisha hapo walipofika na si kwa kulalamika katika katika vyombo vya habari kama mnavyofanya ninyi.

Lakini mimi bado msimamo wangu ni ulele kwamba 99% ya wakazi woote wa ZNZ ni waslamu kwa maana hiyo kama kutakuwa na viongozi wakrito 2 miongoni mwa viongozi 10 ni sahihi kabisa tuache malumbano ya kidini yatatufikisha pabaya.
 
Mkuu, Ipole. Bahati mbaya mitazamo kama yako ya kukataa kujadili uonevu ndio utakaotufikisha pabaya. Haya si malumbano ya kidini (hakuna mtu anayedai kuwa mambo haya yanatokana na imani za wahusika). Wahenga walisema, avaae kiatu ndiye ajuaye kinapombana. Huko marekani,George W ameweka watu weusi katika nafasi za juu za uongozi wake kuliko hata Clinton lakini jamii ya watu weusi bado ina amini kuwa hana nia njema nao. Hii inatokana na vitendo na sheria zinazopitishwa na serikali yake ambavyo vinaonekana kuwabana zaidi watu weusi! Wazanzibari wote wanatakiwa kupewa haki sawa bila kujali idadi yao, dini yao, jinsia yao na wapi walikotokea. Hiiki ndicho kinachogombewa na si kingine.

Amandla!
 
Lakini mimi bado msimamo wangu ni ulele kwamba 99% ya wakazi woote wa ZNZ ni waslamu kwa maana hiyo kama kutakuwa na viongozi wakrito 2 miongoni mwa viongozi 10 ni sahihi kabisa tuache malumbano ya kidini yatatufikisha pabaya.

Ipole,kwa utaratibu unaopendelea wewe na serikali iliyoko madarakani zanzibar,unadhani tukiwashawishi wakristo walioko Tanganyika wauutumie ktk michakato ya kisiasa hapa Tanganyika,unadhani idadi ya waislamu katika nafasi za uongozi itaongezeka au itashuka?

Ikitokea tukawashawishi wakristo wautumie utaratibu sawa kabisa nanyi wazenj mnavofanya,tutakuwa tunawabagua waislamu?

Ipole jibu hoja.
 
Swala la Zanzibar ni bahati mbaya viongozi wote wa CUF na CCM wameamua kutumia asilia kama mtaji wa kuongoza nchi na saa ukiingiza hii dimension ya dini miafaka haitakwisha.

Shukrani Msavila,
Wameamua kutumia asilia(uislamu?) kuongoza nchi!!!tukisema kuna mizizi ya uasilia huo ndie chanzo kikubwa cha kujiona wako pekee yao,na kuwatenga wakristo,mnatuita sie wabaguzi,kwa lipi hasa?nani mbaguzi hapa?

Wakristo walioko Zanzibar kama wanainterest na siasa wachukue fomu na wapige kampeni kwa nia ya kuendeleza nchi na si jamii yao.

Ni wazo zuri wakrsito wa zanzibar kufanya hivi.Lamda nikukumbushe kidogo,ikiwa wanashindwa hata kuwa huru kujenga mahali pa kuabudia,unadhani wanaweza kunyoosha mkono kufikia majukwaa ya kampeni,ambayo yanakutambua kwa ijabu na kanzu?

Tuache kudanganyana,hakuna mkristo atakae shinda uongozi zenj,ni wabaguzi kupitiliza.
 
Suala La Dini Lina Nafasi Yake Katika Uongozi Tutake Tusitake. Si Ni Viongozi Wa Kiislamu Kama Wakina Kigoma Malima Na Mwinyi Waliokuwa Wakilalama Kuwa Waislamu Wamebaguliwa Kwenye Nafasi Mbalimbali Za Uongozi Wa Nchi Hii? Ikafika Mahali Hata Serikali Kwa Jinsi Isiyo Rasmi Wanajaribu Kuona Kama Watali Balance Hili? Na Hapa Mnataka Kupinga Na Kukataa??? Tumeshasahau Jinsi Ambavyo Sasa Jinsi Mkapa Alivyotoa Hata Majengo Ya Tanesco Kuwapa Waislamu Wafungue Chuo Kikuu Kuona Kama Ataweka Balancing Kwenye Jambo Hili? Tutpende Tusipende Hii Ni Hoja.
Naona Hata Siku Hizi Limerudi Tena Hatakatika Elimu. Kila Taasisi Inajaribu Kujenga Shule Nyingi Za Kidini Kwa Kadri Wanavyoweza. Kwani Unadhani Ni Rahisi Kwako Kujiunga Na Seminary Ya Kikatoriki? Haya Yapo Na Ni Hoja Tuijadili. Tusijifanye Ni Mambo Ambayo Hayajadiliki Na Siku Ya Siku Yakaleta Shida
 
Jinsi Mkapa Alivyotoa Hata Majengo Ya Tanesco Kuwapa Waislamu Wafungue Chuo Kikuu.

Huenda waoni jinsi kiongozi huyu(mkristo)alivyo na roho ya kujali maslahi ya wananchi wake,bila kuzingatia utofauti wa imani zao.

Mr.Clean uliwapa hawa watu majnego haya,lakini sisi tuna akili timamu,ikitokea hawabadiliki na kuacha ubaguzi wao wa kishenzi,siku tukiushika usukani,tunarudisha vyote chini ya mkono wa serikali milele.

Nasema tena,nasema,majengo haya(mali ya Serikai ya Tanzania) wangelipewa wakristo waanzishe chuo kikuu,au wakipendacho wao,viumbe hawa wangeandama nchi nzima,wakidai "Matumizi mabaya ya mali za serikali yafanywa na Mkapa".

Wakristo wametulia kimyaa,wachache tukihoji,wanavimba na kutuita wabaguzi,jamaniii,haikai akilini hii,nani mbaguzi hapa.

Mungu akujahalie maisha marefu Mchukia Fisadi.
 
Mkombosi! Naona una chuki binafsi na waislamu kwa jumla! Vuta pumzi kwanza na angalia usiwahukumu wote kwa matendo ya wachache. wabaguzi wako katika dini zote, waislamu, wakristu, wahindu n.k. hakuna mwenye monopoly kwenye hili.
 
Mkombosi! Naona una chuki binafsi na waislamu kwa jumla! Vuta pumzi kwanza na angalia usiwahukumu wote kwa matendo ya wachache.

Shukrani kwa ushauri!
Ndiyo nina chuki zidi yao,na haitakwisha hadi mbele ya kiti cha hukumu ya MUNGU,ilihali hawatabadilika,kuukiri na kuuacha ubaguzi tunaouzungumzia hapa.

wabaguzi wako katika dini zote, waislamu, wakristu, wahindu n.k. hakuna mwenye monopoly kwenye hili.[/QUOTE

Ikiwa kuna mkristo kesha m-bagua mtu wa imani ya kiislamu katika mambo ya kisiasa,n.k(Zanzibar+Tanganyika),Ninatubu kwa hilo,na MUNGU anisamehe na waislamu wanisamehe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom