Tyre "Goodyear 185/65/15 effient grip performance" zinapatikana wapi hapa Tanzania?

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,260
1,090
Wakuu,

Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?

Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!

Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear.

Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu.

UPDATE:

Tyres husika zilikosekana Tz nzima. Niliamua kuziagiza nje ya nchi (South Africa) kwa manufacturer mwenyewe.

Nilizipokea April 12.

IMG_20250412_192623.jpg
 
Tanzania ni nchi ngumu sanaa kupata genuine products...imejaa fake products... tires za sample hiyo ukikosa Arusha szan kama kuna anaza place...

Umeongea kweli mkuu. Huwa nazipata pale Manjis Service Ltd (ni wahindi) - Arusha. Sasahivi hawana.

Nimezisaka sana Dar kwa tyre dealers wa K/koo, ni hakuna. Wamejaza famba za kichina tu.

Ila ukichecki Nairobi (online) zipo kibao zimejaa. Bongo sijuwi tuna shida gani aisee.
 
Inaonekana 'GOODYEAR' wana branch/agent kabisa hapa Tz... yupo Masaki Dar es salaam. Ila cha ajabu hajaweka contact/mawasiliano yoyote, na kwenye social media hayupo! Sa sijuwi kwa wateja walio nje na Dar wanampataje kimawasiliano?!!

Nchi ngumu sana hii. RO7 ZA MGOS

IMG_20241011_224316.jpg
 
Wakuu,

Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?

Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!

Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear.

Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu.
Dah uhakika ni kwa wauza tyre za mtumba tu! Madukani sahizi ni mwendo wa Sailun, Durun, Ling long, Goodride, Triangle nk. Tyre ukinunua set ya 4 ukafunga ikiiisha miezi 6 hazijaota vijipu ubavuni unamshukuru mungu🤣.

Mimi kuepukana na dhahama za mchaina nimeona nidili na wanaouza rim wale wanakuwaga na miguu ya mitumba from genuine brands haza za kijapani zile kama bridgestone, yokohama au Dunlop. Ukibahatika ukapata Pirelli au Michelin ukafunga unasahau kabisa.

Tarehe angalia ya karibuni angalau mwaka toka itengenezwe you must be good to go.
 
Kwakweli brand za kichina ni michosho tu. Sina hamu nazo kabisa.
 
Back
Top Bottom