Tuwe wazi, kupata mtoto mwenye ulemavu au magonjwa ya kuwa tegemezi maisha yake yote ni zawadi kutoka kwa Mungu?

Hebu jaribu kupata picha ya wanandoa waliokaa pamoja kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kupata mtoto hata huyo kilema ama kiziwi unayesema.

Mtoto Ni mtoto tu Tena Ni baraka kubwa Sana kutoka kwa Mungu.Haijalishi huyo mtoto Ana mapungufu kiasi gani ila wanandoa wanatakiwa kumshukuru Sana Mungu kea kuwajalia mtoto.

Kumbuka Mungu akikupa kilema anakupa na mwendo.
 
Huu uzi Umeniuma sana

Nina Best yangu Wamepata Katoto kana shida Ya kiafya tangu Azaliwe hajawahi kua na furaha, sio kichanga sio wazazi...

Inauma sana, inauma sana yaani mimi tuu hua nikienda kuwasalimia machozi yananitoka, na imagine wao wanakuaje? Ukiangalia ni mtoto wa kwanza na waliomsubiria kwa Hamu sanaa...
Mungu Wape nguvu na tumaini watu hawa wote

Huu uzi Siufungui tena.
 
Ni kweli tunatakiwa tushukuru kwa kila jambo
 
Huu uzi Umeniuma sana
Nina Best yangu Wamepata Katoto kana shida Ya kiafya tangu Azaliwe hajawahi kua na furaha, sio kichanga sio wazazi...
Inauma sana, inauma sana yaani mimi tuu hua nikienda kuwasalimia machozi yananitoka, na imagine wao wanakuaje? Ukiangalia ni mtoto wa kwanza na waliomsubiria kwa Hamu sanaa...
Mungu Wape nguvu na tumaini watu hawa wote

Huu uzi Siufungui tena.
Duh! Mungu awafanyie welesi jamani
 
Zamani Wamasai wlikuwa na mila ya kuuwa watoto walemavu, sijuwi siku hizi kama wameawacha.
Dada Faiza, sio wamasai tu ni makabila mengi hata wazungu walifanya hivyo.

kwako wewe hili unalionaje, ni njia bora ya kutatua tatizo ?
 
Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae :
  • haoni na hasikii
  • hajitambui
  • utindio wa ubongo
  • ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu

Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu ?
Wanafunzi wa Yesu walimuuliza swali kama hilo!Jibu ni kudhihilisha ukuu na utukufu wa Mungu!!!
 
Hebu jaribu kupata picha ya wanandoa waliokaa pamoja kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kupata mtoto hata huyo kilema ama kiziwi unayesema.

Mtoto Ni mtoto tu Tena Ni baraka kubwa Sana kutoka kwa Mungu.Haijalishi huyo mtoto Ana mapungufu kiasi gani ila wanandoa wanatakiwa kumshukuru Sana Mungu kea kuwajalia mtoto.

Kumbuka Mungu akikupa kilema anakupa na mwendo.
Hizi ni theory... hayajakukuta
 
Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae :
  • haoni na hasikii
  • hajitambui
  • utindio wa ubongo
  • ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu

Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu ?
Kwanini umeleta mada hii? Utaacha watu wakufuru bure!!
 
Back
Top Bottom