Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 413
- 1,508
Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu ushambuliwe kipindi kile.
Msimamo wake wa kutumia fedha za tone tone kuzunguka nchi nzima kuleta political hoodwink zimekiua chadema.
Niliwahi kumwambia hapa kuwa mwaka 1995 kulikuwa na NCCR Mageuzi, kilikuwa na wasomi balaa, Lamwai, Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, Mabere Nyaucho Marando, Mosses Maira na hasa Prince Bagenda.
NCCR na wasomi wake wote kilipotea, alikuwepo mchungaji Mtikila hapa, yeye alikuwa hatari kuliko Lissu, aliwakusanya wananchi akawahamasisha hadi wakaenda kuwavamia wahindi, Mtikila alikuwa 'kichaa' kweli mwanaume yule, mwenyezi mungu amrehemu.
Wewe unafanya harakati kumtegemea Maria Sarungi, unamtegemea Askofu Bagonza, kichwa kama cha Mwijaku.