Tundu Lissu ni msomi mzuri lakini hana maarifa hata kidogo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
413
1,508
Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu ushambuliwe kipindi kile.

Msimamo wake wa kutumia fedha za tone tone kuzunguka nchi nzima kuleta political hoodwink zimekiua chadema.

Niliwahi kumwambia hapa kuwa mwaka 1995 kulikuwa na NCCR Mageuzi, kilikuwa na wasomi balaa, Lamwai, Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, Mabere Nyaucho Marando, Mosses Maira na hasa Prince Bagenda.

NCCR na wasomi wake wote kilipotea, alikuwepo mchungaji Mtikila hapa, yeye alikuwa hatari kuliko Lissu, aliwakusanya wananchi akawahamasisha hadi wakaenda kuwavamia wahindi, Mtikila alikuwa 'kichaa' kweli mwanaume yule, mwenyezi mungu amrehemu.

Wewe unafanya harakati kumtegemea Maria Sarungi, unamtegemea Askofu Bagonza, kichwa kama cha Mwijaku.
 
Huyo jamaa ni zaidi ya poyoyo,nimemshangaa mimi kama mkulima wa korosho anavyoikataa stakabadhi ghalani na nikifikiria jinsi ilivyonisaidia inanalazimu kusema CCM,mitano tena
 
Usiseme hana maarifa. Kuwazia ukombozi wa taifa kama hili lazima uvurugwe. Raia wenyewe hawajielewi,hawajui kutetea maslahi yao. Wewe uwahangaikie
 
Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu ushambuliwe kipindi kile.

Msimamo wake wa kutumia fedha za tone tone kuzunguka nchi nzima kuleta political hoodwink zimekiua chadema.

Niliwahi kumwambia hapa kuwa mwaka 1995 kulikuwa na NCCR Mageuzi, kilikuwa na wasomi balaa, Lamwai, Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, Mabere Nyaucho Marando, Mosses Maira na hasa Prince Bagenda.

NCCR na wasomi wake wote kilipotea, alikuwepo mchungaji Mtikila hapa, yeye alikuwa hatari kuliko Lissu, aliwakusanya wananchi akawahamasisha hadi wakaenda kuwavamia wahindi, Mtikila alikuwa 'kichaa' kweli mwanaume yule, mwenyezi mungu amrehemu.

Wewe unafanya harakati kumtegemea Maria Sarungi, unamtegemea Askofu Bagonza, kichwa kama cha Mwijaku.

Wewe mwenye maarifa una mchango gani kwa maendeleo ya dunia zaidi ya mbolea tu?
 
Bado hamjasema. Mlizoea madalali wa kisiasa ili muwahonge muendelee kuwaibia wananchi eeeh???

Na bado. Lissu ndo mkombozi kweli wa Watanzania. Lazima mnene kwa lugha nwaka huu.
 
Huwezi kuwa msomi bila kuwa na maarifa. Usomi maana yake ni kuwa na maarifa. Au unadhani uchawa au unafiki kama wa Mbowe ndiyo maarifa?
 
Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu ushambuliwe kipindi kile.

Msimamo wake wa kutumia fedha za tone tone kuzunguka nchi nzima kuleta political hoodwink zimekiua chadema.

Niliwahi kumwambia hapa kuwa mwaka 1995 kulikuwa na NCCR Mageuzi, kilikuwa na wasomi balaa, Lamwai, Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, Mabere Nyaucho Marando, Mosses Maira na hasa Prince Bagenda.

NCCR na wasomi wake wote kilipotea, alikuwepo mchungaji Mtikila hapa, yeye alikuwa hatari kuliko Lissu, aliwakusanya wananchi akawahamasisha hadi wakaenda kuwavamia wahindi, Mtikila alikuwa 'kichaa' kweli mwanaume yule, mwenyezi mungu amrehemu.

Wewe unafanya harakati kumtegemea Maria Sarungi, unamtegemea Askofu Bagonza, kichwa kama cha Mwijaku.
Na wewe mwenyezi Mungu atakujalia zaidi ili utembee watu wakuone ulivyo. Amiin amiin.
 
Tundu Lissu hana tofauti na yule mganga maarufu wa zamani wa kutoa majini maeneo mengi nchini kwa jina la Tekero!! Yaani vilio vya wachawi na wafuga majini kama wewe, vilisikika kila eneo alilo tembelea.
 
Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu ushambuliwe kipindi kile.

Msimamo wake wa kutumia fedha za tone tone kuzunguka nchi nzima kuleta political hoodwink zimekiua chadema.

Niliwahi kumwambia hapa kuwa mwaka 1995 kulikuwa na NCCR Mageuzi, kilikuwa na wasomi balaa, Lamwai, Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, Mabere Nyaucho Marando, Mosses Maira na hasa Prince Bagenda.

NCCR na wasomi wake wote kilipotea, alikuwepo mchungaji Mtikila hapa, yeye alikuwa hatari kuliko Lissu, aliwakusanya wananchi akawahamasisha hadi wakaenda kuwavamia wahindi, Mtikila alikuwa 'kichaa' kweli mwanaume yule, mwenyezi mungu amrehemu.

Wewe unafanya harakati kumtegemea Maria Sarungi, unamtegemea Askofu Bagonza, kichwa kama cha Mwijaku.

Hao wote uliowataja walikuwa na price ndio maana walishindwa kama wangeamua kutokuwa na price then leo tungekuwa tunaongea mambo mengine

Wasira yuko kwenye cheo since awamu ya kwanza, now ni awamu ya Sita

Anamiaka almost 90 kasoro,

Anatakiwa kupumzika now
 
Bado hamjasema. Mlizoea madalali wa kisiasa ili muwahonge muendelee kuwaibia wananchi eeeh???

Na bado. Lissu ndo mkombozi kweli wa Watanzania. Lazima mnene kwa lugha nwaka huu.
Aitishe kikao na G55 awasikilize ndiyo maturity ya uongozi. aachane na msimamo mmoja tu. politics is dynamic.
 
Back
Top Bottom