Tukio katika Picha; Jionee Mawaziri wa Sudan Kusini wanavyovyaa

Ni makubazi halafu ni mlemavu wa vidole gumba kwanza vimetanuka sana kisha ni virefu sana kwenda mbele
Kweli bana, nimezoom kwa karibu zaidi nimeona kweli ni mlemavu wa vidole, hakuna viatu ambavyo miguu yake inaweza kuingia halafu isimtese.
Labda iwe special order.
 
Huyo Mabior Garang ni mtoto wa Marehemu Dr John Garang so kuna uwezekano kakulia msituni na babake.
 
Back
Top Bottom