Tukio katika Picha; Jionee Mawaziri wa Sudan Kusini wanavyovyaa

Pinda sasa ageukia mavazi awataka Watanzania kuachana na suti

SIKU moja tu baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutaka viongozi waandamizi waache kununua magari ya kifahari, jana alikuja na lingine jipya kwa kuwataka Watanzania kuachana na vazi la suti akisema kuwa lina gharama kubwa na halifai kwa wananchi maskini. Pinda ambaye juzi alikaririwa akisema kuwa ni lazima nchi ibane matumizi kwa magari ya bei ndogo, jana alisema suti wanazovaa Watanzania ni za gharama kubwa ukilinganisha na kipato cha Mtanzania wa kawaida...
 
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu, lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana bangi mpaka naogopa, ila kiukweli ndiye mwanaume pekee aliyenifanya nifurahie mahusiano.

Nifanyeje maana nimemshauri kuacha bangi hataki.

Bange ina shida gani mkuu?

Join him. The flavour is real!
BeibeSmith ijaribu utajua madhara yake.
 
Wasudan Kusini inaelekea hawana suti kali kama hizi:

WASSIRA.jpg
 
Kulia ni Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji huko Sudan Kusini bwana MABIOR GARANG (aliyevaa viatu vyeupe).

Katikati ni Waziri wa Ulinzi aliyevaa kandambili na utepe mwekundu begani,

Kushoto ni Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, aliyeshika kirungu nje ya ukumbi wa Bunge mjini Juba Sudan Kusini.


13418841_1271079629570600_3482097259047948240_n.jpg
NI wanyenyekevu na wazalendo kwelikweli
 
Huyo waziri wa kilimo ana chogo kama la Yericko Nyerere
Hahhahaa duuh mkuu?

HONEY TRAPS ni Ujasusi unaofanywa kwa kuhusisha mahusiano ya kifamilia yanayotokana na kuoa, kuolewa au kuoleana. Ni ujasusi mkubwa zaidi katika medani nzima ya Ujasusi, unaohusu nchi na nchi, au kampuni na kampuni, au taasisi na taasisi.

Kuna somo refu sana juu ya hii mada, lakini yote yamo katika Kitabu Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi....

Kwa waliopo Dar wanaohitaji kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa mauzo ya jumla na rejareja fika Posta mtaa wa Samora Jengo la NHC ghorofa ya kwanza duka la House of Wisdom Bookshop,

Au piga simu 0715865544. / 0755865544 Utaletewa mahali ulipo

Bei Rejareja ni Shilingi 30,000 na Bei ya jumla ni 25,000

Wale waliopo nje ya Tanzania, nunueni kupitia mtandao wa Amazon.com

Dowload hapa chini sasa..

https://www.amazon.com/Ujasusi-Kiuc...e=UTF8&qid=1465766645&sr=8-1&keywords=Yericko
 
Back
Top Bottom