Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,888
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!