Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!
inakuwaje kama hatunaye tena duniani au kama naye nahisi true love kwa someelse but not you?
Hivi true love ni nini? naomba darasa waheshimiwa!
kwa kifupi true love ni kuzoea na mtu wa jinsi tofauti na wewe kuliko mtu mwingine yeyote ambaye anaweza kufanya nawe tendo la ndoa hata pale mtakapokuwa hamjaoana. It can be more than that.