maharage ya nazi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 344
- 230
Walikuwa mtu na kaka yake....roy alikuwa mkubwa....hawa sidhani kama walikuwa wakihusiana!
Prisons sini team ya wafungwa?Henry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).
Pius kasambalaChuji pia alikua na ndugu yake jina limentoka
Oswal moris alitoka prison,akaenda yanga ila henry hajawahi kutoka prison licha ya simba na yanga kumshawishi bila mafanikio nadhani alithamini ajira yake ya uafande
Kansonso alikuwa fundi sana .unavyoandika kwa uhakika utafikiri kweli, henry morris ndo alitoka prison akatinga Yanga, oswald ndo hakutoka, mwingine alietoka prison enzi zile alikuwa primos kansonso
Issa Athumani (Yanga) na Kassongo Athumani (Sigara, Simba) hao ni ndugu na hawana na Athumani ChinaIssa athumani Yanga,Athumani china simba
Hawa sio ndugu na hawana uhusiano wowoteZamoyoni Mogela na Method Mogela
Umenikumbusha uwanja wa umojaJuma na Hussein mmoja alichezea Halmashauri Kasulu mwingine Kasulu Warriors.
Paulo pogba & laurent pogba & mathias pogba(brothers)
Solom kalou & boniventure kalou(brothers)
Bakari kone & haruna kone
(Brother)
Alex song & rigobert song(son and uncle)
Fabio cannavaro & paolo cannavaro(brothers)
Rio ferdinand & Antony ferdinand(brothers)
Giovann do santos & jonathan do santos(brothers)
Ricardo izescon do santos leite(kaka) & rodrigo izescon do santos leite(brothers)
Niko kovac & robert kovac(brothers)
Maldin Baba na Maldin Mtoto (Italia)Paulo pogba & laurent pogba & mathias pogba(brothers)
Solom kalou & boniventure kalou(brothers)
Bakari kone & haruna kone
(Brother)
Alex song & rigobert song(son and uncle)
Fabio cannavaro & paolo cannavaro(brothers)
Rio ferdinand & Antony ferdinand(brothers)
Giovann do santos & jonathan do santos(brothers)
Ricardo izescon do santos leite(kaka) & rodrigo izescon do santos leite(brothers)
Niko kovac & robert kovac(brothers)
Pius kisambaleChuji pia alikua na ndugu yake jina limentoka