Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

Majina ndio yamefanana ila Marehemu Method hakuwa ndugu na Zamoyoni.
 
Wa enzi zile hebu waje humu......mimi namkumbuka Lila Shomari na Alan shomari, Musa Kihwelu na Jamuhuri Kihwelu.
 
  1. Kevin-Prince & Jerome Boateng(Mtu na kakae)
  2. Pablo & Diego Forlan(Mtu na babae)
  3. Migule & Pepe Reina(Mtu na babae)
  4. Filippo & Simione Inzaghi(Mtu na Kakae)
  5. Uli & Dieter Hoeness(Mtu na kakae-Bayern Munich Legends)
  6. Abedi & Jordan, Andre, Ibrahim Ayew(Baba na wanawe-wote wamecheza timu ya taifa ya Ghana)
  7. Jean & Youri Djorkaeff(baba na mwana timu ya taifa Ufaransa)
  8. Gary & Phil Neville(Watoto wa mzee Nevile Neville wa cricket)
  9. Kolo & Yaya Toure(Makaka)
  10. Frank & Ronald De Boers
  11. Brian & Michael Laudrup(Makaka)
  12. Jack & Bobby Charlton(Makaka)
  13. Erwin & Ronald Koeman(Makaka)
  14. Cesare & Paulo Maldin(Baba na mwana)
  15. Giuseppe & Franco Baresi(Makaka)
  16. Gabriel &Diego Milito(Makaka)
  17. Paolo & Fabio Cannavaro(Makaka)
  18. Rafael & Fabio da Silva(Makaka)
  19. Lars & Sven Bender(Mapacha)
  20. Rafael(Rafinha) & Thiago Alcantara
 
Familia iliyokuwa Na watu wenye vipaji vikubwa haijawahi tokea no ya Kitwana, Sunday na Kassim Manara. Pia Kitwana Manara ndiye Mchezaji aliyecheza muda mrefu zaidi timu ya taifa akianzia goalkeeper enzi za gossage na kumalizia akiwa forward hatari. Pia alianza kucheza Mpira wa kujulikana mwishoni miaka ya 50 Kassim akiwa mtoto na akajastaafu akicheza pamoja na Kassim Pan Africa mwaka1984 kama sikosei.
 
hawa manyema walitisha sana ,eti wakamzaa msemaji wa malalamiko (penati )fc.
 
Back
Top Bottom