Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

Abas Magongo na Ibrahim Magongo Pamba,Amir Maftah na Juma Amir,Himid Mao na Mao Mkami.
 
ANDREW AYEW & JORDAN AYEW wachezaji wa ghana hawa watoto wa Abed Pele
 
Kuna yule jamaa wa Barcelona alikua anakipiga timu moja na baba yake. Moja ya tukio la kuvutia ni ile siku mtoto anapigwa sub anaingia baba. Kitu kama Gudjensen hivi.
 
Prisons sini team ya wafungwa?

Nasikia hadi wachezaji ni wafungwa


(Samahani kwa hili swali, niko mbali na soka ya tanzania na niko mbali pia na nchi)
Ninavyofahamu ni kwamba ile timu inaundwa na askari magereza. Sidhani kama kuna wafungwa.
 
Henry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).
Oswad morris
 
Back
Top Bottom