TCRA /COSOTA au Mamlaka zinazohusika hamuoni tamthilia ya BONDITA Azam two unavyoharibu watoto kwa kuhamasishwa ndoa za utotoni.?

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
917
1,201
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?

-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani😈 Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.

1645866211305.jpg
 
-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.

View attachment 2131716
Kama nnakuelewa hivi
 
Unaujua mwisho wa hiyo tamthilia?

Kama vipi tuijue kwanza mwisho wake, sio kila mwanzo wa matamanio ni lele.
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?

-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya 😈 Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.

View attachment 2131716
 
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?

-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.

View attachment 2131716
Elimu
Elimu
Elimu

Tafuta pesa achana na mambo ya watu.
 
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?

-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.

View attachment 2131716
Sheria ya Tanzania inaruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa. Kamuulize Kabudi
 
Bado haisaidii,,hata ukiwakataza wa kwako, ,, wajirani wataangalia na huyo huyo wa jirani atamharibu wakwako.

Ukishakua mzazi utanielewa sikumoja
Dunia imeharibika kila mahali, asipoangalia kwa tv basi atayaona mtaani au kusimuliana na wenzake.

Mzazi ana jukumu kubwa la kumlinda mtoto wake kwa hali zote ili mtoto asiharibike.
Ikitokea otherwise basi iwe tu bahati mbaya
 
Mwisho wa hii tamthilia ni mzuri na una funzo ndani yake, wakikatiza sasa hivi lengo ( ujumbe) utakuwa umekatizwa, Bondita baadae atakuja kuwa mwanasheria etc
 
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?

-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani😈 Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.

View attachment 2131716
Ngoja watoto waje?tuone kama hawataki kuangalia
 
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?

-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.

View attachment 2131716
Wewe utakuwa umezuiliwa na jirani yako kuangalia TV nyumbani kwake! Kama unayo!!kwani hiyo ndio channeli pekee
 
Umeliona hilo tu? Je tamthilia za kifilipino zenye wanaume wanaojishebedua mbona umezikalia kimya? Ama hazina madhara kwa watoto?

Ila ulichosema kina mantiki ndan yake
 
Back
Top Bottom