Tache maneno: DED wa Itigi ni msomi

Ninyi msio wasomi ndio mnaotishika na kiwango cha elimu yake. Mimi nilitarajia angalau awe na Phd kama tatu tofauti, kutoka katika vyuo vikuu mashuhuri vya ulimwengu kama Oxford and Cambridge. Lakini kumbe ni aina hiyo ya elimu ambayo kuna watz wengi saana wamemshinda!
 
LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.

* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.

* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).

* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.

* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.

Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.

**************************
Sasa sisi inatuhusu nini?haya majisifu ya kijinga kabisa
 
Kumbe ni Msukuma mwenzetu. Basi sawa
 
Ukisikia Halmashauri wengine wanaona ni kataasisi kadogo sana, na mtu yeyote anaweza kujifunza jinsi ya kuongoza. Tukijikwaa tusiulizane nani mchawi wa maendeleo yetu. Ukiangalia CV ya huyo msomi unajiuliza, je inajitosheleza kiuzoefu?
Nadhani awali walishaweka vigezo vya kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri na walikuwa na sababu zinazojitosheleza. Hilo walilifanya baada ya misuguano mingi na mamlaka za uteuzi zikafikia muafaka wa kuainisha vigezo.
Lakini leo tunaleta siasa kwenye taaluma na taratibu za ukweaji wa madaraka. Tusiseme sana, ngoja tusubiri sie yetu macho na masikio.

Watapelekwa Bagamoyo kwa semina elekezi kwa hiyo tusihofu. Nia ni kuanza na watu wapya kwani walioko wana ile kasumba ya malipo na mishahara hewa.
 
Hata iweje MAGUFULI kakosea uteuzi huu kwa sana tu. Kuna watu wamesoma Political Admin au Law au Economics na wako Halmashauri au Mikoani kama Waratibu wa Wilaya au Mikoa, ila ka waacha kachukua makada wa@CCM tu!!

Ama kweli amefanya Demotivation to employees' work morale.

Kuna hadi walimu wa Nganza Sec kawachukua, KISA MSUKUMA. Kajaza tu kabila lake.

Hao wasomi ndio wametufikisha hapa
 
Mkuu acha kupotosha watu,nani alikuambia ni msukuma,jalibu kuuliza watu,Bihalamuro kuna wasukuma?UOTE="Enzymes, post: 16792404, member: 283820"]Hata iweje MAGUFULI kakosea uteuzi huu kwa sana tu. Kuna watu wamesoma Political Admin au Law au Economics na wako Halmashauri au Mikoani kama Waratibu wa Wilaya au Mikoa, ila ka waacha kachukua makada wa@CCM tu!!

Ama kweli amefanya Demotivation to employees' work morale.

Kuna hadi walimu wa Nganza Sec kawachukua, KISA MSUKUMA. Kajaza tu kabila lake.[/QUOTE]
Mj
 
LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.

* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.

* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).

* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.

* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.

Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.

**************************

Tache ndio nini? Kuwa mkurugenzi WA halmashauri inahitaji uzoefu tu ndio maana Mara nyingi wanapewa wakuu WA idara tena ambao wamekaimu kaimu Mara nyingi. Vyeti ni added advantage tu
 
Back
Top Bottom