DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Punguza jazba mama, kumbuka uongozi ni msalaba.
Haya yote ulipaswa utuelimishe kama hivi leo ndio nimetambua kwamba jela watoto wanasoma.
Unapo kua mkali na kutishia kumshataki mchangiaji na mleta mada sioni kama ni jambo ka busara.
Endelea kutuelimisha ili nasisi huku Ushirombo tupate elimu kupitia wewe nasi tutawaelimisha na wengine.
 
Yaani hawa watoto wetu wamekosa maadili kabisa Yaani sie wazazi tunajinyima mengi ili watoto wasome halafu mwisho wa siku wanatutia aibu!
Hebu kiongozi nisaidie kunitumia hizo picha hapa ili tujaribu kushauriana kama wazazi
Mbona ngono ni kitu cha kawaida tu ...kwani hso waliobaki shuleni bila ya kufukuzwa ni bikira wote
 
Ccm imejaa wapuuzi wengi sana ...swali hao wanafunzi walio baki ni bikira kama siyo bikira mbona wao awajafukuzwa ....kama ni haki kufukuzwa kisa kusex tu ...kwanini serikalini isifukuze watoto wote wasio bikira mashuleni....swala la wanafunzi kusex ni kitu cha kawaida mashuleni bora ingekuwa ushoga sawa ila normal sex ni afya kwa wanafunzi tena inapunguza ushoga ...unspo dhibiti normal sex kwa nguvu sana basi moja kwa moja unafungua mlango wa ushoga na usagaji ...tumieni akili...kule zanzibar ushoga ulifumuka sana baada ya watoto wa kike kufichwa.
 
Eti umri wa kujaribu kila kitu , mbona hawakujaribu sumu ili wajue kama inauwa au haiuwi?
Ww mzazi ushindwe kulea mtoto wako vizuri alafu afanye ujinga ahachwe ili aharibu na wengine?
Leo hii nchi za Asia zimeendelea kwa kuweka sheria kali na kutoendekeza upuuzi.
 
Wamefukuzwa kwa kukirekodi na kusambaza picha za uchi uwe unesoma maelezo na kuyaelewa acheni kukurupuka.
 
Wamefukuzwa kwa kukirekodi na kusambaza picha za uchi uwe unesoma maelezo na kuyaelewa acheni kukurupuka.
Kusambaza hiyo ni xdenti huwa inatokea sema lugha utumika kusambaza ila ni kuvuja kwa taarifa hata,wale walio baka kuna mmoja tu ndiye kasambaza iwe kwa kukusudia au kuto kukusudia ...na hiyo ni aibu yao wenyewe hakuna haja ya kuwafukuza shule hao walitakiwa kuelekezwa tu ...ndani ya ccm kuna machafu kuliko hayo ..kuna machoko wa kutosha na mabasha.mbona wanazidi kupewa vyeo tu
 
Kwaiyo akiwa mwanao ameji rekodi video ya utupu utamfukuza kwako
Makosa Kwa vijana ni kawaida hayo ya ngono, ulevi, bangi, n.k
Ni kuwaonya taratibu wanakaa kwenye mstari

Kwaiyo wakikosea ndo hawatabadilika
Wewe hujawahi kukosea
Hukufanya ngono kabla ya ndoa?

Acha kuhukumu, hawa ni watoto hawajui madhara ya mambo mengi
 
Wao wenyewe ndo walio jirekodi wakijisugua mbususu zao kisha wakazisambaza na wala sio bahati mbaya.
Kama hilo kosa halitoshi kuwafukuza shele basi adhabu ya kufukuzwa shule ifutwe.
Nyinyi wazazi wa siku hizi mna malezi ya hovyo ndo mnatakiwa kulaumiwa.
Basi wabakaji ,wauwa alibino, majambazi ,wezi ,nao waachwe kwa sababu ndani ya ccm wamejaa watu waovu zaidi.
 
Watoto wa siku hizi ile topic ya reproduction haina mvuto tena kama zamani,watoto wa zamani ile topic walikuwa hawakosi kabisaa darasani ila siku hizi wanaona vitu vya kawaida sana.
 
Siwezi kumfukuza kwa sababu ni mtoto wangu akiharibikiwa ni hasara kwangu , lakini huko shuleni hakuna mzazi wake wa kumuonea huruma bali kuna sheria zake zinazo takiwa kufuatwa na kila mwanafunzi na ukizikiuka ni razima achukuliwe hatua.

Walio takiwa kuwaonya na kuwaeleza madhara ya walicho kifanya ni wazazi wao lakini wazazi ndo hao walio jaa uzungu uchwara.
Kwani mahakimu wanao wahukumu watu kwenda jera kwa makosa mbali mbali wao huwa hawakosei?kwahiyo mahakama zifutwe kwasababu hata walio ziweka hizo mahakama huwa wanakosea?
Ww kwenye udogo wako kama ulifanya huo upumbavu huo ulio utaja usidhani kila mtu kafanya huo upumbavu wengine tulikuwa na wazazi wanao jua nn maana ya malezi ya watoto wao.
 
Kwani kuna uhusiano gani wa shule na kupost picha...kwani wanafunzi wamekwenda kutafuta elimu haela au elimu dunia kama wamekwenda kutafuta elimu ya kuingia peponi ni sawa kuwafukuza shule kwa sababu hiyo ..tusichanganye mambo...matukio mabaya ni yale ya mtu kudhulumu nafsi ya mtu mwingine kinyume na haki ila hayo mambo binafsi siyo ya kumfukuza shule je wakienda shule binafsi watakubaliwa na serikali itawatambua kama ndiyo je logic ni nini sasa
 
Huu uzi unawatu wanahasira kinoma..😝
Yaani waungwana wanabamiza tu hadi wana ichamba sisiem kinoma...🤣
Kumbe hii ndio sababu mawaziri wengine walizikimbia ID zenye majina yao kwa kupigwa kwa makosa ya serikali ama mifumo..😜
 
Wewe ni mbinafsi sana
Yaani unaona mtoto kwakuwa sio wako afukuzwe shule
Kuji rekodi video sio mwisho wa maisha
Huyo Binti anaweza kuwa daktari akakuti, akawa askari akakulinda
Mtoto ni WA jamii
laZima aliteleza tumrekebishe arudi maana tunatambia ni mtoto na mtoto laZima afanye utoto
Akikosea tukamfukuza shule tunapoteza jamii

Mabinti wamekosea sawa ila Bado tunawahitaji laZima tuwarekebishe warudi

Kazi ya kulea sio mzazi pekee
 
Kila taasisi ina sheria zake na ukienda hapo unatakiwa kuzifuata ukishindwa basi hufai kuwepo hapo acheni kuendekeza upumbavu.
Jukumu la kulea mtoto kuwa na maadili ni la mzazi na sio la mwalimu wala serikali ,kazi ya mwalimu na serikali ni musimamia sheria za wizara ya elimu zinavyo sema.
 
Adhabu zetu bado sio constructive. Zimekaa kikoloni sana. Sasa wamefukuzwa ili wakaendelee huko mtaani au inakuwaje? Nafikiri ingetafutwa njia nyingine ya kuwasaidia. Lengo la adhabu ni kumrekebisha mkosaji. Sasa kuwafukuza tumewarekebisha kweli?
 
Sisi atuongelei sheria hapa tunaongelea HAKI ....sheria zipo hadi zakuunga mkono ushoga ...hapa tunaongelea haki haki haki haki ..nachukia sana watu wanao dhani sheria ndiyo haki
 
Lakini wakuu....
Minaona kwamba malezi ya mtoto hutokea nyumbani.
Ili mtoto awe na nidhabu, mwenye kuheshimu wakubwa, mwenye kutambua maadili mema nk: haya yooye huanzia nyumbani na kisha shuleni anaenda kufuata masomo pamoja na kuzifuata sheria za shule.
Mtoto aliepata msingi wa malezi bora anajulikana tu kuanzia kwenye discipline.
 
Una hakika huna chuki nae!!???
AMA una chuki na wanawake wote wasiovaa ushungi
hii ni personal vendetta kabisa
Mungu akupunguzie husda na chuki rohoni mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…