DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hakuna kitabu kilichohalalisha huo usingo mama, waache zinaa na waliopo kwenye ndoa wachunge ndoa zao ili malezi ya watoto yahusishe pande zote mbili(baba na mama).

Hallelujah!!!
ndiyo hilo ninalosema mimi, labda hunisomi ka moyo wako, unanisoma kwa kichwa chako.

Maadili sifuri, hiyo jamii itastawi vipi?
 
ndiyo hilo ninalosema mimi, labda hunisomi ka moyo wako, unanisoma kwa kichwa chako.

Maadili sifuri, hiyo jamii itastawi vipi?
Sasa nini kifanyike ili tuweze kulinda walau maadili katika jamii yetu? Maana hali imekuwa tafarani wazazi wenyewe baadhi yao wamekuwa ndiyo waaribifu nambari moja kwa watoto wao!

Hallelujah!!!
 
Utakuta wamedanganywa picha ukituma TiK-tok and Insta ikipata viwers wengi tatengeneza pesaaa
Umasikini wa mawazo ni janga la taifa
Ni kwel,kuna vijana huwa wanaamin kupandisha video yuotube kuna hela za kuokota tu unakuwa unalipwa kila mwezi

Kuna kijana mmoja kahangaika sana nazan sasa mziki ameshaujua kwamba hakuna pesa rahis
 
Sasa nini kifanyike ili tuweze kulinda walau maadili katika jamii yetu? Maana hali imekuwa tafarani wazazi wenyewe baadhi yao wamekuwa ndiyo waaribifu nambari moja kwa watoto wao!

Hallelujah!!!
Serikali ije na sheria kali za kijamii, mojawapo iwe inawahusu watu wanaozaana hovyo bila kufunga ndoa.

Shule zote kuanzia chekechea ni lazima zianzishe masomo na vipindi vya dini. Siyo sasa hivi wanafunzi kuanzia shule za msingi wanafundishwa namna ya kutumia kondom na kufanya ngono.
 
Una kitu ila shida ipo huko serikalini maana hao wazinifu wamejaa na wengi ndiyo wanahusika na utungwaji wa sheria mbalimbali, pia wanawake ninyi ndiyo mmekuwa na matatizo ya ulafi na ubinafsi wa mali na wadhifa wowote.

Mathalani.. unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa vizuri tu ila ghafla anabadilika akipata nyadhifa ama uwezo wa kimali na kuhisi kwamba sasa anaweza kuishi mwenyewe bila mwanaume na hapo ndipo shida inapoanzia, ndiyo kupelekea hao wanajiita masingo maza(walafi) kukithiri mnoo na kusababisha hali ya malezi ya watoto kuwa zigzag maana hawatopata malezi bora.

Hallelujah!!!
 
Hahaha sasa si ndio wawaelimishe kwamba hicho kitendo ni kosa.

Mkiwafukuza kwa umri huo mtu akiwadaka akawatia mimba, serikali msije tena kusema ni watoto wadogo. Mmewafukuza hivyo ni zawadi huku jalalani.

Mwanamke anayeimba kila siku tuwasomeshe watoto wakike yeye anawafukuza kwa kosa moja tu.

Magufuli alisema wakizaa hakuna kusomeshwa, hatuwezi kusomesha wa mama na watoto wao.
 
Serikali ije na sheria kali za kijamii, mojawapo iwe inawahusu watu wanaozaana hovyo bila kufunga ndoa.

Shule zote kuanzia chekechea ni lazima zianzishe masomo na vipindi vya dini. Siyo sasa hivi wanafunzi kuanzia shule za msingi wanafundishwa namna ya kutumia kondom na kufanya ngono.
Hakuna kitu kinaitwa kuzaana hovyo, na Ndoa haizai. Kila mtu anapojifungia huku chumbani huwa anaakili timamu, wendawazimu tu ndio huleta faragha hadharani.

Mbona wapo wanando hawana watoto, ndoa haina uhusiano na kuzaa.
 
well said sh0sti, kuzaana hovyo ndio mwisho watu wanategemea TASAF.
 
Hao watoto wanahitaji counseling baada ya muda warudi shuleni

Kama wamepewa suspension ni sawa ila wanahitaji counselling na adhabu na wafuatiliwe nyendo zao kati ya wazazi wakishirikiana na walimu

Hakuna kinachoshindikana
KWA uelewa wako, mtoto ambaye kishaanza "kuuchezea mjegede" na anajua utamu wake na yupo sekondari anaweza kutulia kabisa ? Au mnataka watoto waendelee kujichua ....!
 
Hakuna kitu kinaitwa kuzaana hovyo, na Ndoa haizai. Kila mtu anapojifungia huku chumbani huwa anaakili timamu, wendawazimu tu ndio huleta faragha hadharani.

Mbona wapo wanando hawana watoto, ndoa haina uhusiano na kuzaa.
Kwa kesi ya hawa watoto, wanajirekodia hosteli.
 
Wakuu habari zenu!

Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Soma, Pia:
+
Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Acha UPAMBUVU mkuu.
 
Wafanye paper la form 4 mbona vya seko vingi vina michezo michafu ni vile tu hawa wamejulikana
Na Ndiyo mantiki yangu hiyo, yani kama mngefunuliwa macho mjue, watoto wenu huko nyumbani wanawashangaa , wanakata maunoi kuliko wazazi, wanajua kulko wazazi. Vijana na wababa wanaopita na watoto wanakwambia kabisa huwa wanatolewa jasho na hawa SOSPA.
wachapwe alafu waendelee na shule .
 
Attachments

  • zama zile.jpg
    zama zile.jpg
    144.3 KB · Views: 2
Wakuu habari zenu!

Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Soma, Pia:
+
Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Kama darasani akili wanazo wasamehewe haraka sana ila kama zero zijazo acheni waende liwe funzo kwa wengine.
 
Kwamba hawatapewa fursa ya kusoma tena, ni hoja za wazushi tu wenye chuki zao sijui dhidi ya nani. Kwa kuwa wako watoto kwenye mahabusu zetu tano nchini na kwenye makao ya watoto waliofanya mambo magumu kusimulia huwezi na wanaendelea na elimu baada ya tabia zao kurekebishwa kitaalamu. Haya mengine ni spana tu za watu na yao
Watoto wapeni elimu ya uzazi Kwa uwazi
Wafundisheni kutumia mitandao Kwa usalama
Haoabinti wapo katika balehe Kwa Sasa wanajaribi kila kitu wasaidie.
Mwisho wafichie Siri
Naamini wewe kama waziri zuia video Yao kusambazwa na kufutwa
Hao kesho watakuwa waziri kama wewe, Ndo Rais, ndo madaktari wetu wa kesho
Kuendelea kuwanyanyapaa ni kuharibu future Yao

Mmefanya kosa kuwaondoa shuleni, hata ingekuwa Kwa siku 1, waache wasome, wasaidie kisaikolojia huku wanaendelea ma masomo
Msiwatenge watajiona wamefanya hatia kubwa
 
Naafikia na wewe hata mimi nimeligundua hilo. unakuta kijana shule alikua kilaza hesabu za la 4 anazikimbia
unakuja kumkuta kwenye maisha ni fundi mzuri mbao za kupaua anazipangilia na kupiga makadirio mulemule kuliko mhandisi aliyemaliza leo chuo. nabaki kushangaa
Kwanini kila mfano lazima muwapigie wasomi wenye degree? Ulishindwa kuishia tu ".......anazipangilia na kupiga makadirio mule mule........" , hapo hapo unakuta mtu kama huyu anasomesha mtoto na yupo huko huko chuo anatafuta degree

Wabongo sisi.
 
Back
Top Bottom