Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?


Mwanamke kukuzidi level atakupa heshima na utii kwa muda tuu ndugu yangu… mwanamke huyu baada ya muda ataanza kukuonyesha dharau na anajua huna la kumfanya as amekupita levels. Wa kuendelea kukuheshimu despite levels kupishana aisee ni mmoja au wawili katika kumi.

Hao wengine ni swala la muda tuu makucha atayaachia. Date wa level yako ili uonyeshe uwanaume wako
 

Wanawake wanapenda mikikimikiki, wewe kua na mikikimikiki , nginja nginja ila mjali mpaka achanganyikiwe.

Nb. UKIAMUA KUA MWANAUME HUWEZI KUKOSA MWANAMKE, KITU MWANAMKE ANACHOKUAMBIA ANAKIPENDA HAKIPENDI NA KILE ANACHOSEMA HAKIPENDI / HAPENDI MWANAUME WA HIVI NDO ANAYEMPENDA KUA HIVYO ILA KWA AKILI
 
anatokea Mkoa gani?nampango wa kuongeza mke wa tatu kwahyo nipo kwenye upembuzi yakinifu.
 
Mimi huyu wa kwangu nilishushiwa kwa akili zangu nisingempata
Huyo ulishushiwa. Wa hivyo huwa hawatafutwi wala hawatafutiki.
Huyo ulishushiwa. Wa hivyo huwa hawatafutwi wala hawatafutiki.
 
Pole sana mkuu, huyo mwanamke alikuwa mpare? Sina ukabila lakini niliwahi date na Wapare wawili wanatabia za namna hiyo uliyoelezea!
 
Very True!
 
Je ulimkuta bikra. Nakazia hapo
 
Kama hukumkuta bikra . Amini wakati wewe hufanyi nae chochote kuna mahali alikua anafanywa sana.. kwako alikua anataka ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…