Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Hbr wana JF,

Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.

Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.

Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.

Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!

NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Punguza gubu na nogwa mkuu utawapata wengi tu.
 
capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!

'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??

Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
Usituharibie kijana tafadhali.
 
Aise mimi nilisema nitatafuta mke wakati sina kazi ya kueleweka! Na kila mwanamke niliyempata kipindi kile nilikuwa namleta ghetoni kwangu kwa lengo la kuona mazingira tu! Wasichana wengi waliokuwa wanakuja gheto baada ya hapo hata simu zangu walikuwa hawapokei baada ya kuondoka! Baadaye alitokea mwanamke mmoja aliyekuja ghetoni na yeye aliyakubali yale mazingira na tukaanza mahusiano mpaka leo ndiye mke wangu miaka 6 sasa! Naweza kusema miongoni mwa wanawake kumi bora sio kwa sura kwa tabia nzuri za wife material yeye basi ni namba moja! Mpaka leo nina kazi nzuri hajawahi kubadilika! Wewe uwe na hela usiwe na hela utamfurahia tu! Kipindi chote cha uchumba sikuwahi kumpa zawadi yoyote na kipindi chote cha uchumba na mahusiano hatukuwahi kufanya mapenzi!! Ndivyo nilivyompata mke wangu
Shikilia huyo mwanamke kwa nguvu zako zote
 
Hbr wana JF,

Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.

Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.

Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.

Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!

NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is ne

Niko single ila sasa nimesoma thread yako ulioyandika umesema hutaki "mwanamke mnene" Duh😂
 
You look uko open sana and nothing you hide from women, wanawake wote hawapendi hivyo, hata kama unampenda sanaaa, usimwonyeshe unampenda, wala usitamke tamke unampenda, don’t be easily accessible akikuhitaji, wewe umejiweka open sana, wanawake hawataki hivyo, wanawake wanataka little drama, hata akikutumia sms kaa masaa 2 ndio umjibu, akikupigia usipokee hadi dak 30 mrudie mwambie ulikuwa busy, akiomba fedha usiseme no, mwambie sawa, subiri kidogo tutaongea, unampa drama yaani hakuelewi vema, hapo atapata wivu na kuona akizubaa atakukosa, ataanza kukufukuzia, ndio mapenzi yao yalivyo ya kiswahili swahili..!!

You were too soft, ndio maana wamekukimbia, unanyenyekea sana wanawake, lazima wakukimbie, hata bedroom ukiwa soft sana, wanakuacha, mwandae vya kutosha, be very clean, be rudy a bit sometimes and rough kitandani, hard and softness later, eat her deeper and squeeze her firmly, be like lion, acha kuwa rojorojo, alafu mwache, don’t over text her kila saa sms kibao, sijui simu kibao, acha hizo tabia, atakuchoka, mwanaume hutakiwa hivyo, give her space, atakukumbuka, sio kila saa mwanaume unaanza bby sijui nn, Love nimekumiss, mara ooohh bby nimekuota, sijui nn, acha hizo, baki na hisia zako utaona atakufuata..!!
 
Fanya haya yote kwa mwanamke ambaye anakuheshimu na anaonyesha nia ya kupambana na wewe tu.
 
Nakushauri usikamie kuoa, kitika mahusiano yako mapya. Kama unataka kamia kupata mtoto kutoka muda. Katika mchakato mke atapatikana tu. Zingatia wadau Wanasema usiwe desperate.

Labda kama unatatizo la kupiga show, hapo Nenda tiba mpadala kwanza kabla ya kufanya kazi ushauri huu.
 
Dada zetu hao wanapenda bad boys,ila baadae sana baada ya kuumizwa na kutendwa na kuzalishwa wanaanza kutafuta good/nice boys,yaani hutafuta kitu ambacho mwanzoni walikuwa nacho na kukidharau.

Mwanangu wewe kaza concentrate na mambo yako mke atakuja mwenyewe na husibadilike kitabia,eti uwe bad boys kuwa hivyo hivyo ndivyo Mungu alivyo kuumba,unaweza ukasema uchange kidogo eti uwe bad boys ukaja kupotea mazima.

Honestly wanawake ni wa kuonewa huruma hawajawahi kujua wanacho kitaka, kuna mabinti wawili yaani ni majirani ambao tumekuwa kama ndugu,wamekuja kuzalishwa na watu wa hovyo, wakati kulikuwa na wana walikuwa wapo tayari kwa kila kitu, mmoja kazalishwa na muimba singeli,mwengine bodaboda, maana walikuwa wanataka bad boys na kweli wamepewa mabad boys kiwango cha lami.

Bro usiumie kichwa concentrate na mambo yako mke wako atakuja mwenyewe.Huyo mwache na mara nyingi huwaga na tabia ya kurudi na kujuta, nimesha shuhudia sana marafiki zangu,achana nae fanya mambo yako.
 
Back
Top Bottom