Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Kaza wewe tatizo umejiweka KIJENTOMEN SANA MA NIGAπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Ignore that hoe, ashakuona lofa na kuna boya anamkaza.Women are loyal to there feelings.Anabehave hivyo kwakuwa hawezi kuwatumikia wanaume wawili,ur turn is OVER!

Hawa mbuzi hutakiwi kujianika sana mipango yako.Stop giving women more than they deserve. Mambo hayo ya outing vizawadi yaani yote ya nini hayo wewe piga mashine weka kando usimpe sana umuhimu mpaka pale utakapoona anajaa kwenye mfumo hapo napo hutakiwi kujiweka wazi. be mysterious!!!

Uwe unaudhuria vikao tatizo nyie wakishua mnajua hela zenu zinaweza kuwapa kila kitu.

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!

'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??

Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
Uzuri umeongea ww na bad boys wengi wao wamekuwa kama mitambo ya kutengeneza single mothers, ila still dada zangu mnawapenda.
 
Aise mimi nilisema nitatafuta mke wakati sina kazi ya kueleweka! Na kila mwanamke niliyempata kipindi kile nilikuwa namleta ghetoni kwangu kwa lengo la kuona mazingira tu! Wasichana wengi waliokuwa wanakuja gheto baada ya hapo hata simu zangu walikuwa hawapokei baada ya kuondoka! Baadaye alitokea mwanamke mmoja aliyekuja ghetoni na yeye aliyakubali yale mazingira na tukaanza mahusiano mpaka leo ndiye mke wangu miaka 6 sasa! Naweza kusema miongoni mwa wanawake kumi bora sio kwa sura kwa tabia nzuri za wife material yeye basi ni namba moja! Mpaka leo nina kazi nzuri hajawahi kubadilika! Wewe uwe na hela usiwe na hela utamfurahia tu! Kipindi chote cha uchumba sikuwahi kumpa zawadi yoyote na kipindi chote cha uchumba na mahusiano hatukuwahi kufanya mapenzi!! Ndivyo nilivyompata mke wangu
Mkuu hongera sana na huyo ndio mtu sahihi, yeye hakujali hali yako alikupenda vile ulivyokuwa na hii ndio ndoto ya wanaume wengi kumpata yule atakaekupenda na hali yako.
 
Hbr wana JF,

Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.

Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.

Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.

Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!


NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Hivyo vitabia wanavyo karibu wanawake wote na hasa pale anapogundua kuwa ume fall in love kwake kupita maelezo,huwa ina kera kiasi fulani,kuna wanaoanza hiyo tabia kabla hata ya ndoa hasa mkiwa na uchumba wa muda mrefu,na wengine baada ya ndoa....
 
capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!

'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??

Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
sasa umewapa Natafuta Ajira na Balqior kichwa

mwaka huu watasumbua kweli kweli
 
Hbr wana JF,

Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.

Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.

Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.

Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!


NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Jitahidi kua kijana jeuri, otherwise utakula msoto sana, mwanamke anatakiwa kukuheshimu, na mazingira ya heshima hiyo unayajenga wewe sio yeye.
Sio kwamba umuonee hapata, uwe tamu ya chungu kwake.
Wanawake wanasumbua zaidi wakigundua we dhaifu kwake....
 
Bado unatafuta mapenzi ya kuzikana karne hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom