atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,775
- 3,504
Kwenye maisha ya mapenzi kuna kupendwa na kuna kupenda
Kupenda tafta mwanamke uliemzidi level tena mbali sana apo utaishi kwa raha
Kupendwa km mwanamke kakupenda ww huwa ni nafuu sana ata km mwanamke uyo anakuzidi level km yeye ndo kakupenda bas atakutii na kukuheshimu
Mwanamke kukuzidi level atakupa heshima na utii kwa muda tuu ndugu yangu… mwanamke huyu baada ya muda ataanza kukuonyesha dharau na anajua huna la kumfanya as amekupita levels. Wa kuendelea kukuheshimu despite levels kupishana aisee ni mmoja au wawili katika kumi.Kwenye maisha ya mapenzi kuna kupendwa na kuna kupenda
Kupenda tafta mwanamke uliemzidi level tena mbali sana apo utaishi kwa raha
Kupendwa km mwanamke kakupenda ww huwa ni nafuu sana ata km mwanamke uyo anakuzidi level km yeye ndo kakupenda bas atakutii na kukuheshimu
Hao wengine ni swala la muda tuu makucha atayaachia. Date wa level yako ili uonyeshe uwanaume wako