Live coverage on JamiiForums
Ufaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.

Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.

Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.

Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?

Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
Vipi mzee SYRIA ni kilometa ngapi kutoka Russia.Kumbuka US na mamluki wake wakiwemo waimngereza walibakiza 20 Km tu kuingia Damascus kuingoa serikali ya Assad.Lakini mwamba PUTIN alipoamua kungia mazima kumlinda Assad nini kilitokea? Mchezo uligeuka na sehemu kubwa ya Syria ikakombolewa.Leo hii tayari haya manafiki yanakimbilia kufungua balozi na Syria.Jana tu Germany na France zimefungua uhusiano, wa kibalozi na Syria.
 
⚡North Korean long-range Bulsae-4 ATGM system spotted for the first time by Ukrainian forces in Kharkiv region.

It is classified as a non-line-of-sight (NLOS) missile system, which allows it to engage targets without the need for direct line-of-sight to the target.

The system consists of a launch package containing eight missile containers.
 
Attachments

  • e1829501-1bb7-4c3a-9992-89ff54c35143.jpg
    e1829501-1bb7-4c3a-9992-89ff54c35143.jpg
    68.6 KB · Views: 3
  • 603d8bba-cb0a-4a55-8cf0-0cd9e1883058.jpg
    603d8bba-cb0a-4a55-8cf0-0cd9e1883058.jpg
    18.3 KB · Views: 5
Taleban haijawahi shinda battle yoyote na Marekani, sembuse vita. Aliyekuwa kiongozi wao wakati Marekani inaenda alikuwa Mullah Omar, Marekani ikafika akakimbia kujificha. Taleban ilishinda vipi at the same time kiongozi wao kakimbilia Pakistan mafichoni? Na Taleban ikaachia madaraka.

Hamid Karzai kaongoza Afghanistan kwa support ya Marekani huku Taleban hawajulikani walipo. Miaka 20 yote Taliban wako mafichoni wanashambulia kwa kujitoa mhanga na ugaidi. US ikaamua zake kuondoka Taliban wakarudi na adabu. Waambie wafuge tena magaidi waone.

Ufaransa iko kilomita 11,000 kutoka Vietnam. Warships, missiles, fighter aircrafts, artillery, troops, ammunition, fuel na almost resources zote kasoro vyakula vilikuwa vinatoka far away na ikapigana ikashindwa.

Urusi inapigana na Ukraine pua na mdomo, technically unaweza tambaa kutoka Urusi ukafika Ukraine bila kuchoka. Zile border checkpoints si unatembea kwa miguu unavuka nchi. Imagine Ukraine haina navy, ila imeitesa vibaya Black Sea fleet ya Russian Navy. Sasa ndio Urusi ipigane na nchi kama Japan au South Korea yenye navy.
Mahaba mabaya sana.Lengo la USA kuivamia Afghanistan ilikuwa ni kuisambaratisha Taleban na kuweka serkali kibaraka.Lengo hili limeshindwa kwa asilimia 100 kwani aliyeko madarakani ni Taleban.USA wameondoka baada ya kuona wanasuffer loss ya watu kufa vitani na gharama kubwa ya kundesha vita bila dalili yeyote ya kuweza kuitokomeza Taleban.Mwisho walinyoosha mikono juu na kuondoka wakiiacha tena nchi mikononi mwa Taleban.Wao walishinda battle lakini Taleban wameshinda vita.Wachambuzi wao wengi wa kijeshi waliwaonya kuhusu hii vita na wengi wakiwahakikishia hata baada ya miaka 20 bado watakaokuwa wamesimama pale ni Talenban.Ndio ulioona wameeondoka na mikia yao kati kati ya miguu.
 
Hatujaelewana
Sijasema na wala sina maana kwamba mwenye nguvu unatakiwa umpishe
Ila tu nimekupa uhalisia na ukweli wamambo ulivyo
Kama marekani aliitwaa Guantanamo anapataje haki yakumkemea urusi
Kule juu nilisema china russia us wote waonevu
Ila kuisemea russia na kuiona marekani safi huu unafiq
Kinachokemewa hapa ni mwenye nguvu kukanyaga mdhaifu.
 
Sio kweli
Anaekemewa hapa russia hawakemewi wenye nguvu kama unavyodai
Uk anakalia falk land kule argentina ila anatoa eti msaada kuzuia russia asiikalie ukraine
Us anaikalia cuba ila anatoa msaada mwenzake asiikalie ukraine wakati nae mwizi
Ufarans nae juzi tu hapa tumeona watu kule anapokalia ardhi za watu ila yeye anatoa msaada dhidi ya russia kwa ukraine
Kinachoendelea ni unafiq na ujanja ujanja
Ili tuunge mkono yanayofanywa na marekani na shoga zake kwanza watoke mataifa ya watu wanayoyakalia watapata uhalali wakutoa misaada
Wewe mwizi ila unaona mwenzako akiiba anafanya makosa huu kama sio usanii nini?
 
Mahaba mabaya sana.Lengo la USA kuivamia Afghanistan ilikuwa ni kuisambaratisha Taleban na kuweka serkali kibaraka.Lengo hili limeshindwa kwa asilimia 100 kwani aliyeko madarakani ni Taleban.USA wameondoka baada ya kuona wanasuffer loss ya watu kufa vitani na gharama kubwa ya kundesha vita bila dalili yeyote ya kuweza kuitokomeza Taleban.Mwisho walinyoosha mikono juu na kuondoka wakiiacha tena nchi mikononi mwa Taleban.Wao walishinda battle lakini Taleban wameshinda vita.Wachambuzi wao wengi wa kijeshi waliwaonya kuhusu hii vita na wengi wakiwahakikishia hata baada ya miaka 20 bado watakaokuwa wamesimama pale ni Talenban.Ndio ulioona wameeondoka na mikia yao kati kati ya miguu.
Yaani unashangaa kweli
Mtu anakwambia marekani kashinda afghanistan ukimuuliza kashinda nini hawezi kukupa majibu ukamuelewa
Ukweli nikwamba marekani aliivamia Afghanistan madaraki akiwepo taleban na kaondoka kawaacha hao hao
Sasa unashangaa mtu anakwambia marekani walishinda walishinda nini labda walishinda njaa
Sasa waone mpaka kuisha SMO pale ukraine waone kama yale majimbo manne atabakia nayo tena ukraine nahuu sasa ndio ushindi maana malengo lazima yafikiwe kisawa sawa
Marekani alichemka vietnam akachemka somalia akachemka akachemka Afghanistan akachemka siria nasasa wanaenda kuchemka ukraine maana walisema vikwazo na msaada nikwaajili ya ukraine kuregesha sehemu zake alizotangaza russia kua zakwake
 
Tathmini yako imejaa ushawishi wa propaganda za magahribi kuliko uhalisia.Urusi ni moja ya Military machines zenye efficiency ya juu sana.Hii vita ina calculation nyingi kuliko unavyofikiria.Ukraine ametumiwa kama chambo kumchosha mrusi na kujua approach yake itakuwa vipi. Unavyosikia Urusi anaiita hii ni SMO ni kwa maana pana sana.Hata jeshi linalopigana kwa asilimia kubwa sio wale ELITE RUSSIAN FORCES, na pia hata resources anazodeploy anafanya calculation nyingi sana.Kuna vitu vingi hajaviingiza ulingoni kwa makusudi kwani anajua kuna kundi linavizia limshtukize.
Kuna kauli nyingi labda watu wanazipuuzia,Putin ameishasema na mageneral wake wameishasema pia,Vita itayokuwa baina ya Russia na hizo nchi nyingine itakuwa na tofauti kubwa sana na SMO ya Ukraine.
Kuna muda unajiuliza hawaoni ama hawajui
Russia hii vita anapigana nayo kiakili na kibabe sanaa
Russia vita anapiganwa ukraine nzima ila eneo lengwa kalifanya liwe dogo ili kuhakikisha anatumia resources ndogo sana
Eneo la vita limekua don bass kherson zapo na hapo kharkiv ila russia anapiga mpaka liviv
Russia alijua kama wamagharibi wanataka aivamie kivu mazima mazima ila kumbe kawazidi akili kuliko walivyodhania
Russia angekimbilia moja kwa moja kivu alikua anaenda kushinda vita kwa nguvu kubwa zisizo lazima ila angepoteza watu wake wengi sana sana sanaa
DT juzi hapa kakiri kwamba Russia ni habari nyengine jf kuna watu wanajua kuliko DT
 
Ufaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.

Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.

Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.

Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?

Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
Una mahaba niue sana. Hivi unajua licha ya Marekani kuikalia Afghanistan Kwa miaka 21 hawakuwahi japo kuwa na full control ya Afghanistan?
Mpaka mwezi Juni 2021 karibu robotatu ya Afghanistan ilikuwa chini ya watoto wa mbwa wajiitao Taliban.
 
Manpower ipi wakati Russia inafanya mobilization kwenye population ambayo ni kubwa kuliko ya Ukraine, na Russia ni jeshi la tatu duniani kwa idadi ya wanajeshi active.

Foreign Legion unayodai ifanye Ukraine iwe na idadi kubwa iko deployed wapi, hata wanajeshi 5,000 nahisi hawana. Na ilifanya nini cha maana kwenye battle yoyote. Hao ni washereheshaji.

Military na financial aid anayopewa Ukraine ni kubwa kwa nchi za uchumi wa kati, ila haikustahili kuonekana kubwa dhidi ya Urusi. Usitarajie China ipigane na Taiwan, alafu Taiwan isubiri silaha za kudunduliza ikae hata miezi mitatu.

Urusi imerithi silaha nyingi za Soviet Union, ilikuwa na stock ya vifaru maelfu kwa maelfu na ammo. Kwenye namba ilikuwa kwenye advantage kubwa sana dhidi ya Ukraine.
Kaka una uhakika foreign Legion and mercenaries hawazidi 5000, na wengi ni active and reserve kutoka U.S,Europe and Allies
Msaada wa silaha kutoka U.S, Europe and Allies with cutting edge technologies and trainings unasema ni mdogo kaka!?
Financial aid ambayo ni more times ya Russian budget,
Nilitegemea utalinganisha budget ya Urusi kijeshi na msaada wa fedha aliopewa Ukraine jibu utalipata.
Bila kusahau economic, technology sanctions and frozen assets
 
View: https://vm.tiktok.com/ZMrHQSAQx/

Uko sahihi kabisa Mkuu.
Huyo alietoa hizo namba za askari wa Marekani waliouliwa na wanajeshi wa Urusi ni 100,000.
Alietoa hesabu hiyo ni Col Douglas Mac Gregory ni mwanajeshi mstaafu wa USA.
 
Tathmini yako imejaa ushawishi wa propaganda za magahribi kuliko uhalisia.Urusi ni moja ya Military machines zenye efficiency ya juu sana.Hii vita ina calculation nyingi kuliko unavyofikiria.Ukraine ametumiwa kama chambo kumchosha mrusi na kujua approach yake itakuwa vipi. Unavyosikia Urusi anaiita hii ni SMO ni kwa maana pana sana.Hata jeshi linalopigana kwa asilimia kubwa sio wale ELITE RUSSIAN FORCES, na pia hata resources anazodeploy anafanya calculation nyingi sana.Kuna vitu vingi hajaviingiza ulingoni kwa makusudi kwani anajua kuna kundi linavizia limshtukize.
Kuna kauli nyingi labda watu wanazipuuzia,Putin ameishasema na mageneral wake wameishasema pia,Vita itayokuwa baina ya Russia na hizo nchi nyingine itakuwa na tofauti kubwa sana na SMO ya Ukraine.
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️100%
 
Mahaba mabaya sana.Lengo la USA kuivamia Afghanistan ilikuwa ni kuisambaratisha Taleban na kuweka serkali kibaraka.Lengo hili limeshindwa kwa asilimia 100 kwani aliyeko madarakani ni Taleban.USA wameondoka baada ya kuona wanasuffer loss ya watu kufa vitani na gharama kubwa ya kundesha vita bila dalili yeyote ya kuweza kuitokomeza Taleban.Mwisho walinyoosha mikono juu na kuondoka wakiiacha tena nchi mikononi mwa Taleban.Wao walishinda battle lakini Taleban wameshinda vita.Wachambuzi wao wengi wa kijeshi waliwaonya kuhusu hii vita na wengi wakiwahakikishia hata baada ya miaka 20 bado watakaokuwa wamesimama pale ni Talenban.Ndio ulioona wameeondoka na mikia yao kati kati ya miguu.
,,✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️100%
 
Kuna muda unajiuliza hawaoni ama hawajui
Russia hii vita anapigana nayo kiakili na kibabe sanaa
Russia vita anapiganwa ukraine nzima ila eneo lengwa kalifanya liwe dogo ili kuhakikisha anatumia resources ndogo sana
Eneo la vita limekua don bass kherson zapo na hapo kharkiv ila russia anapiga mpaka liviv
Russia alijua kama wamagharibi wanataka aivamie kivu mazima mazima ila kumbe kawazidi akili kuliko walivyodhania
Russia angekimbilia moja kwa moja kivu alikua anaenda kushinda vita kwa nguvu kubwa zisizo lazima ila angepoteza watu wake wengi sana sana sanaa
DT juzi hapa kakiri kwamba Russia ni habari nyengine jf kuna watu wanajua kuliko DT
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️100%
 
Attachments

  • 590c92e9-fb2b-419f-920c-ef049e338b8f.jpg
    590c92e9-fb2b-419f-920c-ef049e338b8f.jpg
    13.9 KB · Views: 2
  • 7018b951-f94d-40b3-b81c-5f6b4aa985ac.jpg
    7018b951-f94d-40b3-b81c-5f6b4aa985ac.jpg
    23 KB · Views: 2
⚡Venezuela has announced a Suspension in Diplomatic Ties with Argentina, Chile, Costa Rica, Peru, Panama, the Dominican Republic, and Uruguay; following these Countries declaring that yesterday’s Election in Venezuela was Fraudulent and calling for Nicolás Maduro to Step-Down as President.
 
Imeisha hiii
Kumchomoa maduro wasahau labda kama russia na china waamue kua aondoke
Naona kelele za jana pale caracas zimepoa ghafla sana
📝 Many of the demonstrators recently flew in from the US, they receive $150 a day - Maduro

The President of Venezuela noted that the actions of the protesters are similar to the actions of participants in the “color revolutions” produced by the Americans.

📝 “Crises serve for growth. They want to create a political crisis, they could not and will not be able to. Acts of violence and fascism will not pass. We will win,” Maduro said.
 
Back
Top Bottom