Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 466
- 901
Haijawahi kutokea, hzo zilikuwa speculations za pro russians. Kama unaushahidi kama putin aliwahi kuwaambia warusi kitu kama hicho basi uweke hapa huo ushahidi.Usisahau pia Putin alitangaza vita hii kama operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo