Vpi mtoto huyo akienda Mwanza au akienda Dodoma watasema ni Mhamiaji Haramu???
Unajua hata Mantiki ya Mhamiaji haramu ni nini??
Umewahi kusikia Mwanza kuna ongezeko la wahamiaji haramu Kutoka Tanga au Dodoma kuna wahamiaji haramu kutoka Iringa???
Na umesema Wangetumia Bandari au Airport wasingeruhusiwa??
Sasa wewe kwa akili yako wamefikaje zanzibar walienda kwa Basi?? Au walienda kwa Ungo??
wanatumia majahazi ya wavuvi kuvuka, hizo ishu mbona ni za kawaida