Mkuu nakubaliana nawe kwamba Wazanzibari wengi wanasoma Bara. Hii, kwa hivyo, inadhihirisha kwamba Wazanzibari wanasoma sana, yaani wanajaza vyuo vyao na kuja kwenu kukupigeni push kujaza vyuo vyenu kwani wenyewe munashindwa kuvijaza, au Wanakuingizieni faida kwa karo wanazolipia.

Hili la vyuo vya Zanzibar kujengwa kwa pesa za Wabara nalo linahitaji ushahidi, vingonenevyo wewe nimuongo, mchonganishi na huna unalolijua.
Mpaka umeme wa TANESCO mnatumia bure wa kutoka bara
 
Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.

Kama ni hivi huwa sielewi maana ya muungano kabisa🤔🤔
Nini usichoelewa ni nchi mbili tofauti
 
Subutuuu, huku wanamiliki Ardhi KUBWA na wanamiliki hadi mademu zetu! Wewe kupata mke Zanzibar ufanye KAZI ya ziada labda uwe mwarabu
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza fikiria kuoa mzanzibar
 
Mkuu nakubaliana nawe kwamba Wazanzibari wengi wanasoma Bara. Hii, kwa hivyo, inadhihirisha kwamba Wazanzibari wanasoma sana, yaani wanajaza vyuo vyao na kuja kwenu kukupigeni push kujaza vyuo vyenu kwani wenyewe munashindwa kuvijaza, au Wanakuingizieni faida kwa karo wanazolipia.

Hili la vyuo vya Zanzibar kujengwa kwa pesa za Wabara nalo linahitaji ushahidi, vingonenevyo wewe nimuongo, mchonganishi na huna unalolijua.

Mkuu hao jamaa ni watu waliochanganyikiwa, usipoteze nguvu zako
 
Kwa hiyo ni UHAMIAJI wa ndani au sio!

watu wanaendekeaza chuki tu humu jamvini, Just imagine watoto wa age za 13- 17 wanatoka mikoani wanakwenda Dar au Zanzibar, na wakishafika huwa wanalala nje mana huwa hawana hata makaazi rasmi. Ni hatari sana ila humu wameshindwa kuona chochote zaidi ya chuki tu zinazowapelekesha.
 
Waarabu weusi hawajui siku tukisema turudishe watu wetu bara na watu wao warudi huko kwao, Kale kakisiwa hakatatosha😁
 
Back
Top Bottom