hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,905
- 1,206
Nawapa credit kwa juhudi zote wanazofanya kwenye kuuelewa ulimwengu,.....Mimi Sipo hapa kuonyesha kwamba wao ni wapuuzi au hawafai kabisa bali ishu ni kwamba mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍.......so kwa kuwa hakuna uthibitisho na intuitives zinaonyesha dunia ipo stationary & flat....Then we should trust own own intuitives until proven otherwise.Hahahaha,
Nkuulize swali, NASA huwa wanatoa taarifa mapema sana kuwa siku fulani na kuanzia saa fulani na ni sehemu gani effect itakua kubwa zaidi.....UNADHANI WANAJUA KWA KUOTEA ? kama hawajui mzunguko wa hili gimba letu ??
Au labda niambie wewe mtaalamu ni hesabu gani wanatumia haha