Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,450
- 969
Swali kwenye zile animation umesoma ?Hizo picha zote kama alivyosema ni animation hata yeye hana uhakika, ila Jua linazunguka Dunia toka kuumbwa kwa hii Dunia na haliko 93m km kama tunavyodanganywa. Nina amini katika bible sababu ndo kitabu cha kale na ndo kimeelezea ukweli juu ya uumbaji wa hii Dunia.
Zaburi 19:1
Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao. Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika; hata hivyo, sauti yao yaenea duniani kote, na maneno yao yafika kingo za ulimwengu. Mungu ameliwekea jua makao yake angani; nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana. Lachomoza toka upande mmoja, na kuzunguka hadi upande mwingine; hakuna kiwezacho kuliepa joto lake.
Bible inaprove Jua linazunguka Dunia na lina orbit yake, hata ukisoma kitabu cha Joshua unaona Mungu alisimamisha Jua na sio Dunia, sababu jua ndo linazunguka Dunia.
Director wa NASA wernher van braun baada ya kufa kwenye kaburi yake ameandika PSLAM 19:1 amefikisha ujumbe hapo ila ndo hivyo hatuelewi.