Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,450
- 969
Utaona flat "surface" ndani ya Dunia Tufe.Flatness doesn't need to be proven,...utaiona Kwa macho Tu....fanya exploration Dunia nzima kisha tuambie nini umeona.? Tufe/flat?
Dunia Tufe linalozunguka ndiyo linatakiwa kuwa proven!
Mimi Sipo hapa kutunga nadharia zangu.... nadharia nakuachieni nyie mnaoamini kwamba theories ni facts 100%.
Nlizungumza kuhusu NASA kujua kuhusu ni siku gani, mda gani na sehemu gani effect ya kupatwa kwa jua itakua kubwa.
Nkakuuliza unadhani wanajua kwa kuotea ?
Wanajua kwasababu wanatambua mwenendo mzima wa mzunguko wa Dunia, Na wanatambua mzunguko mzima wa Mwezi kwahiyo hesabu zote zinazingatia hayo.
Dunia ni tufe muache ubishi usio na maana.