hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,905
- 1,206
Anhaa kwahiyo hujui?Walisemaje ? Leta maelezo yao tusome wote hapa.
Subiri nitakuletea hapa...stay tune
Anhaa kwahiyo hujui?Walisemaje ? Leta maelezo yao tusome wote hapa.
Quote hata kwa unavyokumbuka walisema nini ? Andika hata kwa kiswahili sio lazima uende google kutafuta maelezo yao.Anhaa kwahiyo hujui?
Subiri nitakuletea hapa...stay tune
Miaka ya zamani kila mtu alikua anadhani Dunia ni flat,Anhaa kwahiyo hujui?
Subiri nitakuletea hapa...stay tune
In 1543, Nicolaus Copernicus, a Renaissance mathematician and astronomer, who formulated a model of the universe that placed the Sun rather than Earth at its center. In his model, the Sun is fixed, and all other "spheres" revolve around the Sun (Copernicus saw the planets as being spheres in perfectly circular orbits).Miaka ya zamani kila mtu alikua anadhani Dunia ni flat,
Watu walioshughulisha bongo zao ambao hawakutaka kuchukulia mambo kwa kukariri kama walivyoyakuta waliamua kufanya tafiti na taratibu safari ya maendeleo kuanza kuijua Dunia na ulimwengu kwa pamoja ikaanza.
So chochote kinachoibuliwa sasa hivi kuhusu ulimwengu ni maendeleo kwenye mambo yanayohusu anga.
Hahh unieleweshe au utunge uongo wa kujitetea.Walisemaje ? Leta maelezo yao tusome wote hapa
Then nikueleweshe.
Okay sasa umetafuta maelezo umeyapata,In 1543, Nicolaus Copernicus, a Renaissance mathematician and astronomer, who formulated a model of the universe that placed the Sun rather than Earth at its center. In his model, the Sun is fixed, and all other "spheres" revolve around the Sun (Copernicus saw the planets as being spheres in perfectly circular orbits).
Unamjua Copernicus?!.....nenda kamsome ndiyo father wa Imani yenu ya Heliocentric model/theory
Yaan kuhusu Dunia kuwa Duara unapinga Kwa kutuambia tutumie akili ya tunachokiona ila Jua kuzama ndo unaleta habari za perspective. Stop being ignorant.1. Jua halipotei Kwa kuzama ni perspective tu ambayo probably inatokana na refraction ya mwanga unapopita kwenye maji.... angalia distance ya Jua na Dunia kisha jiulize how come useme Jua linapotea Kwa kuzama?
2. Jua linakua na muonekano mkubwa wakati wa sunset na sunrise kutokana na optical illusion inayosababishwa na effect ya refraction ya mwanga wa Jua tu kama nilivyosema hapo juu kwenye case ya kuzama Kwa Jua,...na sio kwamba ndiyo uhalisia wake upo hivyo.
So,. Unakubaliana na Father of Heliocentric Theories kwamba Jua lipo fixed?Soma vizuri alafu ujiulize shida iko wapi hapo ? ( Nliita ni maendeleo kwasababu hiyo ilikua ni hatua kwenda kwenye hatua nyingine )
Kwani ili ujue kwamba umeona kitu wrongfully Kwasababu ya perspective,... hutumii akili ya ulichokiona?Yaan kuhusu Dunia kuwa Duara unapinga Kwa kutuambia tutumie akili ya tunachokiona ila Jua kuzama ndo unaleta habari za perspective. Stop being ignorant.
Nimeshakwambia utachoka Bure, he can't even explain what he says. Anaruka ruka tu.Mbona unashindwa kuelezea sasa, Jua ipo juu kwa mujibu wenu kadri linavyoenda mbali lingepotea kwa kufifia taratibu...Kivipi lipotee kwa mtindo huo ? Akili yako haisadiki kama Dunia inazunguka bro ?
Nimekwambia stop being ignorant.Kwani ili ujue kwamba umeona kitu wrongfully Kwasababu ya perspective,... hutumii akili ya ulichokiona?
Yani nikidumbukiza mti kwenye ndoo yenye maji kisha nikaona umepinda......macho hayo hayo ndiyo nitayatumia ili kujua kama nilichokiona ni real or just a refraction
Wazungu 80% wanajua ukweli wa hii Dunia, pia nafurahi kuona watu wanaamkaHana pa kuyatolea majibu,.. Kwasababu hata anaowategemea pia hawana majibu.
Some people have left others to think on their behalf..."
Ukiliangalia jua hta macho yanakataa haliko 93million kms away hata mwezi pia the same.So., unataka ujue object ambayo mnadai ipo Miles 93 million ina move vipi?
Unazijua 93 Million miles?
Mpka kufikia mwaka 1960 ramani ya Dunia ilikuwa ni flat, baada ya NASA kuundwa kila kitu kikabadilika😂Hivi unajua kama mwanzo hao unaowaaamini 100%...walisema Jua lipo "fixed"?
Baadae wakachunguza wakabadilisha wakasema na Jua lina move pia...
Sasa siku usishangae wakibadilka na kusema "Dunia ipo fixed!"
Kwa bahati mbaya huenda theories zikibadilika in the future Mimi na wewe hatutokua hai.
Sawa Dunia ni flat, ni Kwa vipi lunar phases zinatokea?Mpka kufikia mwaka 1960 ramani ya Dunia ilikuwa ni flat, baada ya NASA kuundwa kila kitu kikabadilika😂
Embu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanzaNimeshakwambia utachoka Bure, he can't even explain what he says. Anaruka ruka tu.
Usihangaikenae, Kuna vitu vingi tu vinaoperate Kwa kutumia nadharia(ambayo saivi ni fact) ya Dunia ni ellipsoidal.
Kila kinachoweza kuelezea umbo la Dunia kuwa ni tufe wanakitoa wanasema hakipo, watasema hakuna gravity Bali ni density mara buoyancy, saivi wameanza kukataa Jua kuzama, hivo hivo watakataa as long as vitathibitisha umbo la Dunia ambayo sio tufe.
So nakushauri achananae he add nothing to your head, atleast angekuwa straight na ana-make sense, yeye anarukaruka na kukataa vitu na kukimbia maswali.
Simple sana nakutafutia link soon nitashare upate elimu.Sawa Dunia ni flat, ni Kwa vipi lunar phases zinatokea?
Kwanini sasa ukielekea west unatokea east,mfano kunandege zinazotoka New York kwenda Australia kupitia Pacific OceanEmbu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanza
Ndo umejibu hapo swali?Kwanini sasa ukielekea west unatokea east,mfano kunandege zinazotoka New York kwenda Australia kupitia Pacific Ocean